Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,572
Kwa akili hizo basi kweli wanawake tuna mafurushi.viamada vinajua sana kubembeleza ninyi uvivu na viburi nikupe hela ya nn na mahali nimetoa, bora kimada kinamahaba motomoto
Kwa akili hizo basi kweli wanawake tuna mafurushi.viamada vinajua sana kubembeleza ninyi uvivu na viburi nikupe hela ya nn na mahali nimetoa, bora kimada kinamahaba motomoto
Kachukua pesa zake.Huo ni wizi mwenzio alitumia technique mpaka akapewa hiyo Lak moja, ukiiba hizo laki nne na ukapewa talaka hizo hela zitakusaidia kupoza hayo maumivu? Lak nne nayo pesa? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, matumizi aliyokuhudumia huyo mume wako hayazidi hiyo laki nne? Au hiyo lak moja aliyopewa mwenzio imekuuma acha uchoyo eboo
Shida michepuko huwa ni mizur kiliko wifeMmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.
Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.
Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Yatayokukuta sisi hatumoYaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.
Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.
Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.
Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kwanza mm ningefunga safari kabisa nikapate upepo mwanana, apeleke talaka mwenyewe kwa wazazi wangu yaani sirudishiUsiirudishe....
Kama hamna mtoto nyumbani, kimbia mahali ukapunge upepo na hiyo laki nne yake
dah kitambo sana binti Evelyn....naona kama kawa watoa nawwe yako ya moyoni .....Usiirudishe....
Kama hamna mtoto nyumbani, kimbia mahali ukapunge upepo na hiyo laki nne yake
umeongea vema sana....sema huyu wife wake ana lake tangu zamani hiki ndio kisingizio...mke bora hawezi fanya hivo eti liwalo na liwe...hapa kuna kitu si bure........mwanamke hujenga na kubomoa.Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.
Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.
Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
Ulipotea afande za sikudah kitambo sana binti Evelyn....naona kama kawa watoa nawwe yako ya moyoni .....
Ha ha ha talaka itatangulia home, ukitoka kupunga upepo utaikuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kwanza mm ningefunga safari kabisa nikapate upepo mwanana, apeleke talaka mwenyewe kwa wazazi wangu yaani sirudishi
Wabarikiwe wazazi waliokulea kuwa MWANAUME, wenzio wengi wamekuwa jinsia ya kiume tu siku hizi.
Akumbuke kutupa feedbackUsiirudishe....
Kama hamna mtoto nyumbani, kimbia mahali ukapunge upepo na hiyo laki nne yake
nzuri maana natumia grisi a.k.a LubricantsUlipotea afande za siku