Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Hivi wanaume huwa mnawaza nini

Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
duh wonders shall never ends
 
Unajuaje ameonga ??? Nakama nimwanamke rafiki yake alomwomba amkopeshe iyo pesa ???.

Ivi kwanza wewe ni mwanamke kabisa mmefunga ndoa au niwa *njoo tuishi* ...

BTW ...Kama unaweza ,,chukua iyo pesa ,,nenda kaburudike ,Fanya unachokitaka ...... Utakapoachwa ,urudi tena kuomba ushauri.

Huna heshima ..you just take mumeo km Msela fulan ivi ...msubiri mwenzako anakuja ,unamhoji kwa vzuri maisha yanaenda.....Sasa unajiita mke wamtu alafu unaomba ushauri wakufanya UJINGA ???.

TATIZO LENU MNACHUKIAGA KUAMBIWA UKWELI.
Mzee huo ni wizi kisheria,yani Mimi angelala MTU mahabusu,kupandana kichwani huko!
 
Ongeza ufundi mama ndio maana jamaa anaenda nje.... Huna vyombo ww
 
Wewe ni mwizi tu kama vijizi vingine.Ukichukua kitu cha mtu bila ruhusa yake, weye ni mwizi.
 
Yaani leo ndio nimechoka na vitimbi vya wanaume mimi nimejikuta nipo tayari anipe taraka lakini si kurudisha hizi pesa.

Kisa kipo hivi katika heka heka za kushika simu yake nimekuita muamala nikautilia shaka kumbe ni kweli amemtumia pesa kimada chake laki moja.

Nilichoamua kufanya Mimi nimemkombea lakin NNE zote zilozo kwenye suruali yake najiandaa na Mimi kufanya yangu. Wakuu nitakuwa nakosea haiwezekani nje aonge alafu kwangu ajifanye kila siku hana.

Neno lake la mwisho asipoikuta pesa yake akirudi nitakiona cha mtema kumi. Nahisi na Mimi nipo tayari kwa lolote lakini si kuirudisha hii pesa.
Tafuta zako mama kwani wewe huna mikono??
[HASHTAG]#mapambano[/HASHTAG] mema..
[HASHTAG]#Mrejesho[/HASHTAG] muhimu.
 
Mmh. Kwa uliyoyaandika hapa na dhahiri kwamba kuna ambalo umeshalipanga.

Ila kaa ujue ubaya haulipizwi kwa ubaya. Na kila mmoja ana tatizo lake, usikae ukadhani ukimuacha huyo utapata aliyekamilika. Kwa hilo sahau my dear.

Na nyie wanaume acheni hizo. Mchepuko unaupa laki huku mkeo analia shida. Khaaaa. Ndio nini sasa. Hebu wajalini wake zenu basi.
huyo kalikoroga mwenyewe.....sasa kuchukua pesa ndo itakuwa suluhu.....utazitumia zitaisha....kwanza mwenzake kapewa 1k, hizo nne alikuwa anapewa yeye.....haoni kwamba yeye ndo boss......mnatuvuga sana jamani....
 
Wanaume wengi ni noma sana wanajua kujali michepuko kuliko familia zao.
Ni ujinga kbs unajali malay@ nje kuliko mke wako, atleast mama unampa 200000 malay@ unamampa 50000[emoji23] [emoji23] mama akiona anajua kiana unamjali kuliko huyo mtu wako, kuliko unaombwa unasema sina nje unatoa sio uungwana, my sister kazitumbue tu
 
kwa hiyo ni vema yeye kuhonga nje kuliko Mimi mke wake
Una uhakika kaonga?
Mara nyingi tu huwa naingiziwa pesa kwenye simu au bank A/C naombwa niwalipe Casual labour wa idara yangu.

Mara nyingi hawa wanakuwa wasichana na siku nyingine anakuwa mmoja tu.

Pia huwa natumiwa pesa ya kazi flani kama Overtime au za kufanya kazi holidays na nyingine naambiwa mtumie mtu namba hii nae unakuta ni msichana ambae hata simjui.
 
Mola awaonee huruma na wake zenu, mmekua watu wa ajabu sana nyie

Evelyn Salt ,
Mkuu.

Amiin!!!
Tena, Dada Evelyn binafsi mke wangu ndiye anatunza hadi kadi za benk maana she is my everything.

Japo, Poise , nampenda na kumheshimu sana mke wangu.
Sijawahi kujuta kuwa naye wala hata kuchepuka.
" she is my world".

Tanga Raha sana, pia nashukuru familia ya mke wangu kumlea vyema na kumfanya awe mke aliyetukuka kuliko wote.

Nashukuru sana kwa, mkoa wa Tanga kuwa nchini Tanzania.
 
Bojoooo nimemtamaniaje!!!!!
Hongereni sana
 
Hizi mambo Zenu za usawa ...zitaendelea kuongeza Idadi ya Single mother / nawanaopewa talaka mpaka mtahisi Shetani ni mbaya kumbe WAPI!!!.

Mwanamke mwenye hekima ajuaye ndoa nini huwezi kumshauri mwenzako namna hii....Wanawake Wa Dar ...

Unless mtoa mada na wewe ni Vimada !!!.
Wanawake hawapendani,huyu anamjaza upepo mwenzake ili aachike,akija kulia lia humu amcheke.
 
We huko chini ya kitanda vikipotea mi sikushauri tena, hiyo laki nne ulitakiwa uivalie pensi kabisa weka ndani ya pensi vaa, vaa pensi nyingine juu, weka gauni funga na kitenge....
Ulinzi shirikishi
Ikibidi atafute na sindano ashone kabisa.
 
Back
Top Bottom