cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,987
- 204,134
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa wahudumu wananikodolea macho afu wambie wanikome
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa wahudumu wananikodolea macho afu wambie wanikome
Mgolole wa pink?[emoji15]mbeya? Kigauni? Afu nje ya geti? Na baridi hii? ...hapana ni Mimi hapa nimejiegamisha ukutani nimevaa trouser nyeusi na mgolole juu
Huyu demu afu nilimuonga kabla najuta mimiBas angemuepusha demu asingefika hata Lodge, angesema ana dharura, mwambaa kuna sehemu amekwamaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni kauli za kawaida kwa mwanamke akitongozwa na mwanaume, hawezi kujilegeza mara ya kwanza ni lazima akuletee mapozi.Poa Mzee ngoja nijifunze na hii si mara moja dah sa ningefanyaje yy kakataa et namchukuliaje?
UTI sugu inatibikaaa, Azuma n 5k bacteria na virus wote chaliiiiii.Nasikia siku hizi wadada Wana UTI Sugu ni kwel mpenzi?
Yeah,chap basMgolole wa pink?
Wambie Bwana wanajigonga kis*Ng* afu mm Nina kimeo changu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi nina wivu.tarajia kuona thread ina title:"JINSI NILIVYOPIGWA NA KITU KIZITO NA To yeye"Huenda ni Mimi,maana kiukweli mi nina wapenz wengi kweli humu,but usiogope kipenz...kila MTU na muda wake na hutokuja kuwa bored
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushapigwaaa mjini hapa, afu ukutee kuna jamaa mwenzako ndo kaenda kupewa afu sehemu zote, utajua hujui.Huyu demu afu nilimuonga kabla najuta mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee tupu.Wambie Bwana wanajigonga kis*Ng* afu mm Nina kimeo changu
Na huyu demu angesubutu kunipa hakika angeanza yy kunitafuta ngoja nijaribu kumcheck kesho tena hila mwanangu kumpata demu siku ya kwanza tabu balaaHizo ni kauli za kawaida kwa mwanamke akitongozwa na mwanaume, hawezi kujilegeza mara ya kwanza ni lazima akuletee mapozi.
Binafsi nabembeleza hadi wakati mwingine napewa tumbua kwa kauli ya "nakuonea huruma tu ngoja nikupe", nikipewa nahangaika nayo kuhakikisha show inayofuata yeye ndiye ananitafuta
Nakuomba,nakuomba...please bae....nitatii kile utakachosema aiseeMbona mimi nina wivu.tarajia kuona thread ina title:"JINSI NILIVYOPIGWA NA KITU KIZITO NA To yeye"
Hapo mpaka sindano za masaa 60 bhna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]UTI sugu inatibikaaa, Azuma n 5k bacteria na virus wote chaliiiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa sa sikia sogea hapa umemuona mkaka mrefu black kama msudan?Yeah,chap bas
Msingi kiunooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo ni kauli za kawaida kwa mwanamke akitongozwa na mwanaume, hawezi kujilegeza mara ya kwanza ni lazima akuletee mapozi.
Binafsi nabembeleza hadi wakati mwingine napewa tumbua kwa kauli ya "nakuonea huruma tu ngoja nikupe", nikipewa nahangaika nayo kuhakikisha show inayofuata yeye ndiye ananitafuta
Wala hata. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mpaka sindano za masaa 60 bhna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mwamba ngoja nimtafutie hela ya pombe kasema kanatumia desperado et afu kamepandisha pressureMimi nina sura ngumu ila huwezi amini hua sikubali nipote mechi, leo chupu chupu yanikute nimekuja kufanikisha dakika za nyongeza kwa goli la kusukuma kwa mkono! Shida sana mtu mzima alafu unakutana na kitoto kidogo geti kali vinaumiza kichwa sana, mbaya zaidi awe anywi pombe aisee, unatumia akili nyingi ambazo ungetumia darasani ungeweza kumfundisha hata mwalimu, nyumbani mwisho saa 3usiku pumbavu kabisa! Ila basi tena ngoja nilale zangu
Kaa kimya atajileta kwenye kumi na nane huyo....yaan kaushaHuyu demu afu nilimuonga kabla najuta mimi
Roho hata hainiumi.Dah Una roho mbaya sana ww