Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
- Thread starter
- #41
Dah hapo Mzee ndo siwezagi na hii sio mar a kwanzaKwa mara ya kwanza ni muhimu kubembeleza , baada ya hapo ni yeye ahangaikie de liborlo fc
Dah hapo Mzee ndo siwezagi na hii sio mar a kwanzaKwa mara ya kwanza ni muhimu kubembeleza , baada ya hapo ni yeye ahangaikie de liborlo fc
Huyo avatar yako🤔Gonooo
Teh teh hapana njoo Bhana afu ata sigusi ata sana kidogo Tu juu juu Tu bas njoo mamaRudi lodge bhana,mi nawaonea wivu nimelala na moto hapa afu nyie mmeacha kitanda na shuka pekeyake[emoji17] au kama vipi nisubiri hapo nje twende wote bhana...kwani utaondoka nayo?
Sawa,nakusubiri nipo nje hapa...Teh teh hapana njoo Bhana afu ata sigudi ata sana
Inamaana yeye mpaka anaingia humo ndani alijua anaenda kutalii au?Mwanangu demu kafika Hadi ndani ya chumba Eti oooh ukunambia unanichukuliaje? Dah love is not for everyone nimeamini
😂😂😂unataka ukamfanye niniMbona unaweka taarifa nusu nusu..unaleta taharuki kwa mabaharia, em simulia kisa chote mkuu.
Utajichua sana kwa mwendo huo. Bembeleza mwanzoni kisha yeye ataanza kuhangaika na wewe joh!Dah hapo Mzee ndo siwezagi na hii sio mar a kwanza
Mshamba huyo piga chiniMwanangu demu kafika Hadi ndani ya chumba Eti oooh ukunambia unanichukuliaje? Dah love is not for everyone nimeamini
Demu hajamwelewa jamaa...ampuuze tuInamaana yeye mpaka anaingia humo ndani alijua anaenda kutalii au?
We s tuliconnect devices mchana via bluetooth! ndo nn sasa hiki? au unataka na mm nianzsh thread nikilia kama jamaa..!Rudi lodge bhana,mi nawaonea wivu nimelala na moto hapa afu nyie mmeacha kitanda na shuka pekeyake au kama vipi nisubiri hapo nje twende wote bhana...kwani utaondoka nayo?
Wee,nisamehe...nisije umbuka mie...plzWe s tuliconnect devices mchana via bluetooth! ndo nn sasa hiki? au unataka na mm nianzsh thread nikilia kama jamaa..!
Kwa hiyo mpaka unalipia lodge mlikuwa hamjakubaliana kuwa analiwa?next time kuwa straight forward, ili kama ana UTI aitibu kabisa kabla hajaja, mimi mwanamke nampanga kabisa, siku ya kutoka anajua anachokifuataDah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na game sijapiga hii hela si Bora ningelewa najuta Mimi na hii sio mara ya kwanza nashindwana na demu sababu ya kumbembeleza [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
cmpaka aperform [emoji28][emoji28][emoji28]viwango bbyKwa mara ya kwanza ni muhimu kubembeleza , baada ya hapo ni yeye ahangaikie de liborlo fc
Nimekusamehe usrudie lakn... af kama moto n mkal kaoge tafadhal upoe kwanza i'm on my way....Wee,nisamehe...nisije umbuka mie...plz
Sawa,ngoja nijisimamishe kwenye mvua...maana inanyesha balaaNimekusamehe usrudie lakn... af kama moto n mkal kaoge tafadhal upoe kwanza i'm on my way....
mmmmh basi kesho huku itatukomesha maana haijanyesha sku nzma... uskae muda mrefu kwenye mvua usije ukapoa kabisa.Sawa,ngoja nijisimamishe kwenye mvua...maana inanyesha balaa