Hivi wanangu nyie mnawezaje?

Hivi wanangu nyie mnawezaje?

🤣🤣😛
FB_IMG_16717826476181787.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushapigwaaa mjini hapa, afu ukutee kuna jamaa mwenzako ndo kaenda kupewa afu sehemu zote, utajua hujui.

Chezeaaa weyeeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pls usiseme hvyo bhna hapa nmemuona demu kama yy ngoja nijaribu bahati ingine
 
Tafutaa helaa mkuu ,,dem hata kama ujamtongoza mbelé ya mkwanjaa anavua chup**
 
Huyu mwamba ngoja nimtafutie hela ya pombe kasema kanatumia desperado et afu kamepandisha pressure
Tafuta elfu40 ya desperado 10 tu uwe nayo reserve akiyakanya mtupie akifika ya sita kutakua kumesha achama ataachia mwenyewe kenge kabisa hawa! Mda huo chumba kiwe tayari na kisiwe mbali kabisa ikiwezekana hapo hapo anaponywea huo ulanzi kuwe na vyumba! Ukijiloga kumpandiaha bodaboda akapigwa na upepo umeisha! Hao kama kuku wa manyoni, unamkuta amechangamka kumbe wamewapaka pilipili nyuma ukimchuku ukamtia kwny tenga ukamsafirisha kuja dar upepo ukampiga na pilipili ikapoa ujue anafika kibudu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom