whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,451
Sema siku nyingine mpange mapema, akifika hamna stori ni kazi kaziKaniudhi kiseng***
Sema siku nyingine mpange mapema, akifika hamna stori ni kazi kaziKaniudhi kiseng***
Ungemjibu tu chapchap nakuchukulia kama kipenzi changu , mke mtarajiwaz mrembo wangu huku ukiendelea au basi me sio mwanaume siwezi kukushauri [emoji2] [emoji3]Et sikumwambia et namchukuliaje?
Acha uzinzi/uasherati, oa au tulia na mke wako, Hilo sio jambo la kujuta na kuja kuomba ushauri humu ndani.Dah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na game sijapiga hii hela si Bora ningelewa najuta Mimi na hii sio mara ya kwanza nashindwana na demu sababu ya kumbembeleza [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Hapo nashangaa kweli yaani mpaka unaitwa logde hujui umeitiwa Nini!?Yaani kaja lodge kufanyaje sasa?
Kwani lodge umelipia sh ngapi?Dah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na game sijapiga hii hela si Bora ningelewa najuta Mimi na hii sio mara ya kwanza nashindwana na demu sababu ya kumbembeleza [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
30,000 dah unataka unirudishie nn?Kwani lodge umelipia sh ngapi?
Wapi hapo mwanangu?Kuna mahali umebugi mwenyewe
Sawa Baba MchungajiAcha uzinzi/uasherati, oa au tulia na mke wako, Hilo sio jambo la kujuta na kuja kuomba ushauri humu ndani.
Dah hapo ndo nilipo fail naisUngemjibu tu chapchap nakuchukulia kama kipenzi changu , mke mtarajiwaz mrembo wangu huku ukiendelea au basi me sio mwanaume siwezi kukushauri [emoji2] [emoji3]
Asante dah hapa imebidi niende Tu BarPoleeee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim siwez kukurudishia hata iweje30,000 dah unataka unirudishie nn?
Jitahidii kama alishakubali kuja hadi room huyo alishakuwa tayariDah hapo ndo nilipo fail nais
Maskini,ukomando kwenye love hautakiwi...mapenz kubembelezanaDah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na game sijapiga hii hela si Bora ningelewa najuta Mimi na hii sio mara ya kwanza nashindwana na demu sababu ya kumbembeleza [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Dah Una roho mbaya sana wwMim siwez kukurudishia hata iweje