Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,255
Sawammmmh basi kesho huku itatukomesha maana haijanyesha sku nzma... uskae muda mrefu kwenye mvua usije ukapoa kabisa.
Sawammmmh basi kesho huku itatukomesha maana haijanyesha sku nzma... uskae muda mrefu kwenye mvua usije ukapoa kabisa.
Kuna mtu alisema kule kweny thread ya bluetooth kuwa kuna mtu ataconnect device 40., usije kuwa ww..!!Sawa,ngoja nijisimamishe kwenye mvua...maana inanyesha balaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahUngemjibu tu chapchap nakuchukulia kama kipenzi changu , mke mtarajiwaz mrembo wangu huku ukiendelea au basi me sio mwanaume siwezi kukushauri [emoji2] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]30,000 dah unataka unirudishie nn?
Na ukifika bar kuwa makini wahudumu watakufilisi.Asante dah hapa imebidi niende Tu Bar
Huenda ni Mimi,maana kiukweli mi nina wapenz wengi kweli humu,but usiogope kipenz...kila MTU na muda wake na hutokuja kuwa boredKuna mtu alisema kule kweny thread ya bluetooth kuwa kuna mtu ataconnect device 40., usije kuwa ww..!!
Mwana kazingua hajui hata uongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ww umevaa kigauni cha pinki?Sawa,nakusubiri nipo nje hapa...
Sasa alipokua ana muita Lodge hakujua kuna magonjwa?Shukuru Mungu amekuepusha na magonjwa!
Ndo hvyo Mzee nimepigwa na kitu mtot kasepa hapa nko kulewaMbona unaweka taarifa nusu nusu..unaleta taharuki kwa mabaharia, em simulia kisa chote mkuu.
Sio akili yake ila Mungu akamuepusha🤣Sasa alipokua ana muita Lodge hakujua kuna magonjwa?
Au ndo sizitaki mbichi hizi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mwanangu Sjui ata nimefail wapi demu kakazaInamaana yeye mpaka anaingia humo ndani alijua anaenda kutalii au?
Hilo sio la kuulizacmpaka aperform [emoji28][emoji28][emoji28]viwango bby
Poa Mzee ngoja nijifunze na hii si mara moja dah sa ningefanyaje yy kakataa et namchukuliaje?Utajichua sana kwa mwendo huo. Bembeleza mwanzoni kisha yeye ataanza kuhangaika na wewe joh!
Duh nilimwambia maana alisema tutoke twende sijui wapi uko mm nikamwambia uko no akasema fresh sawa twende sehemu fresh tuKwa hiyo mpaka unalipia lodge mlikuwa hamjakubaliana kuwa analiwa?next time kuwa straight forward, ili kama ana UTI aitibu kabisa kabla hajaja, mimi mwanamke nampanga kabisa, siku ya kutoka anajua anachokifuata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Mwana kazingua hajui hata uongo
😳mbeya? Kigauni? Afu nje ya geti? Na baridi hii? ...hapana ni Mimi hapa nimejiegamisha ukutani nimevaa trouser nyeusi na mgolole juuNdo ww umevaa kigauni cha pinki?
Hapa wahudumu wananikodolea macho afu wambie wanikome
Nasikia siku hizi wadada Wana UTI Sugu ni kwel mpenzi?Sasa alipokua ana muita Lodge hakujua kuna magonjwa?
Au ndo sizitaki mbichi hizi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas angemuepusha demu asingefika hata Lodge, angesema ana dharura, mwambaa kuna sehemu amekwamaaa.Sio akili yake ila Mungu akamuepusha[emoji1787]