Oya Mwanenu mapenzi yanataka Kunitoa Roho

Nobrain

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
248
691
Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi.

Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi.

Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye Supermarket, (ilikuwa Mwezi wa tatu 2022) nilimpenda na kumfungukia Hisia zangu, akawa Amenipa Namba!! Tukaanza Kuwasiliana.

Kumbe Ile Supermarket ni yake (nina uhakika maana alifunguliwa na mzee wake). Me aikujali wala nini sababu nina Kipato changu, nimeajiliwa Mahari. Nalipwa Kama 2 Mil.

Kweli Mwanzo Mapenzi yalikuwa Matamau sana, Tulikuwa tunaonana mara kwa Mara, tunachat na kuongea san, na alikuwa hana Hiyana Game alinipa La kibabe sana. Wazee mapenzi yalinikolea Vibaya Mno!! Nikaona Nimepata Dem wa Maana.

Baada ya miezi miwili...!!!
Siku moja mwanangu mmoja Ofisini, akanidokeza Jambo ambalo lilinishitua sana. Mwana Aliniletea Simu yake ambayo alikuwa ndani ya Mtando wa malaya Unaitwa Tagged, akaniambia Mzee embu angalia demu wako ambavyo hajatulia.

Mwana alikuwa amechati naye, na Kumtongoza kabisa, na Dem alikuwa anaelekea Kukubari ila alitaka kwanza waonane na Mwamba lakini pia alimpa namba yake ya simu ambayo nayo hiyo ilikuwa ni ile ile ya Dem, nilipoicheki( Mwamba hakuqa ameweka Picha yake!)

Daaah!!! Iliniuma Sana, ikabidi nichukue screen shot na Kumtumia Dem!!
Dem alikana Balaa na Kusema Kuna watu wanamchezea na wanataka Kutuvuruga. Sikumwambia kama Alikuwa anachati na Rafiki yangu. Alinifata hadi ofisini kuomba radhi na Kunisih nisiamini maneno ya watu.

Niliamua Kupotezea Tu wakuu.. si wajua Uanaume ni kazi. Ile account ikawa Imefutwa kule faster. Baada ya Muda wa Mwezi kama mitatu Tena, jamaa mwingine aliniletea tukio kama lile la mwanzo, daaah!! Hapa nilichoka zaidi na ukizingatia Dem namuelewa kinoma aisee!!

Nilitaka niachane naye kimya kimya, nikimuona kama ni malaya asiyejielewa!! Lakini nilishindwa kabisa. .... niliamua tena kumuuliza kuhusu jambo hili, lakini na wakati huu alikataa pia na account ikafutwa.

Maisha yakaendelea, baada ya mwezi alipata Shida ya kama sh. 1 mil. , Akawa aneniomba, mimi nilimwambia kiukweli sitaweza kukupa hiyo pesa sababu ni nusu ya mshahara wangu mzima lakini pia umeiomba leo na unaitaka leo.... ila nilimwambia nitakupa nusu nusu..

Demu alikausha akasepa, ikawa nikimpigia mara nyingi hapokei na akipokea anaongea kwa mkato sana! .... lile jambo lilinisumbua kwa kama wiki hivi nikaamua kumchana live tuachane akawa amekubari.

Baada ya wiki mbili aliwafata washikaji na kuomba samahani kwa kile kilichotokea. Wana wakaja kuniambia na Vile nilikuwa nampenda nikamsamehe maisha yakaendelea...

Nikawa nimemeahidi ile pesa aloomba kwakuwa aliamua kuikopa (alinambia hivyo) basi mimi nitamrejeshea taratibu kwa kumpa laki tano tano kila mwezi kwa miezi miwili.

Basi, mwez wa kwanza mambo yalikuwa mengi nikawa nimempa laki 4 tu. Nikamwambia mwezi ujao nitampa 6 ilobaki ili akamalizie deni. Akakubari na kusema ameweka juu laki moja so imekuwa tano akalipa.

Mwezi ulopita Ofisini walifanya ubwege wa kuchelewesha mshahara, ile tarehe ua demu kumpa hela ikafika lakini sina pesa. Nilijaribu kumwambia hali halisi, lakini akawa haelewi, kila siku anaulizia pesa...

Mazee, ilikuwa tarehe za mwanzo wa mwezi huu, aliamua kwenda kufunga mzigo, ila kila siku lazima aulizie pesa, na mimi nilkuwa bado sijapata...
Demu alichukia na kunitumia sms kuwa anajiona kama mwenye mikosi kila akitaka msaada toka kwangu anafeli ( ikumbukwe aba Supermarket, na ana drive gari kali, mimi sina hata baiskeli).

Keshoye nilimtumia Voice note, kumueleza hali ilivyo, na vile nilitarajia yeye angenielewa na kunishika mkono katika kipindi hiko!!

Aisee, voice note ilizua balaa!! Ugomvi ukawa mkubwa, ikabidi nionbe radhi lakini wapi...

Tukachuniana kama wiki hivi hatuongei, nikaja kumtafuta ili mambo yaishe akanikataa, nakunambia sifai kuwa nae!!

Niliumia sana, lakini nikajipa tumaini la kusonga mbele!! Jana akaja rafiki ake katika Stori, akanambia Amemuona Zaidi ya week yule dem anazurula na mwamba Mmoja Hapa mjini japo wanakaa Sehemu za Maficho..

Kwa Kweli imeniuma sana, coz nilikuwa nampenda na nimejitolea sana Kwake, kuanzia muda wangu, hadi jasho langu!!!

Lakini mwisho wa siku kaamua Kunitenda Kibwege sana.... kila Nikijaribu kumfuta Akilini wanangu, naona Kama naelemewa, sijui nilimpendaje Kifara namna hii....

Nimekwama hapa chakula hakipiti, kazi haziendi na sitaki kumrudia. Sijui nifanye nini
Mazeee.
 
Chunguza kwa makini sana iyo supamaket siyo ya kwake, apo tayari moja ushapigwa, keshakuona wewe boya lofa fulani ivi, mbili iyo ushapigwa, keshachukua pesa ako tatu iyo ushapigwa. Ushaletewa maushaidi ni mraka anajiuza wewe bado unang’ang’ania tu ngoja upewe maukwimi ili ufe kabisa pumbavu.
 
Be a man and let it be known.

Tambua na fahamu wako wazuri sana kuliko yeye na chochote unacholiona kwake wako navyo 10x. Mwanaume wewe unathamani kubwa sana usikubali yeye akufanye kujiona dhaifu.

Unanafasi nzuri sasa ya kujifunza na kufahamu juu ya wanawake. Lakini ni nafasi nzuri ya kujifunza juu ya wewe ni nani na wajibu wako kama mwanaume. Amka mdogo wangu aliyekupa kisogo mwache aende sio mkeo huyo

Kasome hii uache kulialia bwa mdogo
1 Wafalme 2:2
 
Asante mkuu
 
Chunguza kwa makini sana iyo supamaket siyo ya kwake, apo tayari moja ushapigwa, keshakuona wewe boya lofa fulani ivi, mbili iyo ushapigwa, keshachukua pesa ako tatu iyo ushapigwa. Ushaletewa maushaidi ni mraka anajiuza wewe bado unang’ang’ania tu ngoja upewe maukwimi ili ufe kabisa pumbavu.
Umemshauri vizuri. Scenario kama hizi unaona kabisa ni za uongo.

Tukio kama hilo bado unamfata fata wa nini?

Wanaume wengine wa
Hovyo sana.
 
Hawa vijana ni wa kupiga makofi akili ziwakae sawa. Tatizo hawajafundishwa maisha na wazee wao, halatu na biblia havisomii basi vinakua vijinga vijinga tuu. Mwanamke, dunia niya wanaume sijui nianzishe shule ya maisha kwa ajili ya vijana wa kiume tuu daah
 
Hawa wanaume wengine si ajabu wnaakuwa mashoga. Yaani mwwnaume huwezi kujisimamia nafsi na nafasj yako sasa utasimamia ya nani?
 
Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi.

Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi.

Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye Supermarket, (ilikuwa Mwezi wa tatu 2022) nilimpenda na kumfungukia Hisia zangu, akawa Amenipa Namba!! Tukaanza Kuwasiliana.

Kumbe Ile Supermarket ni yake (nina uhakika maana alifunguliwa na mzee wake). Me aikujali wala nini sababu nina Kipato changu, nimeajiliwa Mahari. Nalipwa Kama 2 Mil.

Kweli Mwanzo Mapenzi yalikuwa Matamau sana, Tulikuwa tunaonana mara kwa Mara, tunachat na kuongea san, na alikuwa hana Hiyana Game alinipa La kibabe sana. Wazee mapenzi yalinikolea Vibaya Mno!! Nikaona Nimepata Dem wa Maana.

Baada ya miezi miwili...!!!
Siku moja mwanangu mmoja Ofisini, akanidokeza Jambo ambalo lilinishitua sana. Mwana Aliniletea Simu yake ambayo alikuwa ndani ya Mtando wa malaya Unaitwa Tagged, akaniambia Mzee embu angalia demu wako ambavyo hajatulia.

Mwana alikuwa amechati naye, na Kumtongoza kabisa, na Dem alikuwa anaelekea Kukubari ila alitaka kwanza waonane na Mwamba lakini pia alimpa namba yake ya simu ambayo nayo hiyo ilikuwa ni ile ile ya Dem, nilipoicheki( Mwamba hakuqa ameweka Picha yake!)

Daaah!!! Iliniuma Sana, ikabidi nichukue screen shot na Kumtumia Dem!!
Dem alikana Balaa na Kusema Kuna watu wanamchezea na wanataka Kutuvuruga. Sikumwambia kama Alikuwa anachati na Rafiki yangu. Alinifata hadi ofisini kuomba radhi na Kunisih nisiamini maneno ya watu.

Niliamua Kupotezea Tu wakuu.. si wajua Uanaume ni kazi. Ile account ikawa Imefutwa kule faster. Baada ya Muda wa Mwezi kama mitatu Tena, jamaa mwingine aliniletea tukio kama lile la mwanzo, daaah!! Hapa nilichoka zaidi na ukizingatia Dem namuelewa kinoma aisee!!

Nilitaka niachane naye kimya kimya, nikimuona kama ni malaya asiyejielewa!! Lakini nilishindwa kabisa. .... niliamua tena kumuuliza kuhusu jambo hili, lakini na wakati huu alikataa pia na account ikafutwa.

Maisha yakaendelea, baada ya mwezi alipata Shida ya kama sh. 1 mil. , Akawa aneniomba, mimi nilimwambia kiukweli sitaweza kukupa hiyo pesa sababu ni nusu ya mshahara wangu mzima lakini pia umeiomba leo na unaitaka leo.... ila nilimwambia nitakupa nusu nusu..

Demu alikausha akasepa, ikawa nikimpigia mara nyingi hapokei na akipokea anaongea kwa mkato sana! .... lile jambo lilinisumbua kwa kama wiki hivi nikaamua kumchana live tuachane akawa amekubari.

Baada ya wiki mbili aliwafata washikaji na kuomba samahani kwa kile kilichotokea. Wana wakaja kuniambia na Vile nilikuwa nampenda nikamsamehe maisha yakaendelea...

Nikawa nimemeahidi ile pesa aloomba kwakuwa aliamua kuikopa (alinambia hivyo) basi mimi nitamrejeshea taratibu kwa kumpa laki tano tano kila mwezi kwa miezi miwili.

Basi, mwez wa kwanza mambo yalikuwa mengi nikawa nimempa laki 4 tu. Nikamwambia mwezi ujao nitampa 6 ilobaki ili akamalizie deni. Akakubari na kusema ameweka juu laki moja so imekuwa tano akalipa.

Mwezi ulopita Ofisini walifanya ubwege wa kuchelewesha mshahara, ile tarehe ua demu kumpa hela ikafika lakini sina pesa. Nilijaribu kumwambia hali halisi, lakini akawa haelewi, kila siku anaulizia pesa...

Mazee, ilikuwa tarehe za mwanzo wa mwezi huu, aliamua kwenda kufunga mzigo, ila kila siku lazima aulizie pesa, na mimi nilkuwa bado sijapata...
Demu alichukia na kunitumia sms kuwa anajiona kama mwenye mikosi kila akitaka msaada toka kwangu anafeli ( ikumbukwe aba Supermarket, na ana drive gari kali, mimi sina hata baiskeli).

Keshoye nilimtumia Voice note, kumueleza hali ilivyo, na vile nilitarajia yeye angenielewa na kunishika mkono katika kipindi hiko!!

Aisee, voice note ilizua balaa!! Ugomvi ukawa mkubwa, ikabidi nionbe radhi lakini wapi...

Tukachuniana kama wiki hivi hatuongei, nikaja kumtafuta ili mambo yaishe akanikataa, nakunambia sifai kuwa nae!!

Niliumia sana, lakini nikajipa tumaini la kusonga mbele!! Jana akaja rafiki ake katika Stori, akanambia Amemuona Zaidi ya week yule dem anazurula na mwamba Mmoja Hapa mjini japo wanakaa Sehemu za Maficho..

Kwa Kweli imeniuma sana, coz nilikuwa nampenda na nimejitolea sana Kwake, kuanzia muda wangu, hadi jasho langu!!!

Lakini mwisho wa siku kaamua Kunitenda Kibwege sana.... kila Nikijaribu kumfuta Akilini wanangu, naona Kama naelemewa, sijui nilimpendaje Kifara namna hii....

Nimekwama hapa chakula hakipiti, kazi haziendi na sitaki kumrudia. Sijui nifanye nini
Mazeee.
pole mkuu ukweli ni kwamba demu wako anajiuza , jipe muda, acha kumfuatilia fuatilia na achilia hayo mashaka basi , kama umeamua kumuacha kweli basi na umuache na maumivu hayatachukua muda mrefu na yataisha , ila kama moyo wako una mashaka mashaka mkuu utaumia zaidi ,ukifanikiwa utakuwa mjanja na hautakuwa fala tena kupenda penda hovyo.
All the best
 
Mkuu mimi sikushauri chochote, nikuambie kwanini? Kwa sababu inapofika point ya breakup ni wewe na moyo wako, nina experience na hiyo situation... Maelfu ya watu yanaweza yakakushauri uachane na huyo dem ila kamoyo kako kakajakuwapuuza wote, Na hapo ndo hufika ile stage watu husema "Kalogwa nini" Maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyewe kuamua unapandisha vioo au unashusha, Mimi ilifika stage nimeshashuhudia kabisa huyu dem kaliwa jana na still i was ready to forgive her lakini baadae nilijitafakari mimi na maisha yangu kiujumla...

Kwamba ni kweli kabisa nimependa huyu malaya kuzidi hata Mungu wangu anaeruhusu nione haya anayonifanyia last word ilikuwa "Oi we malaya nimenawa mikono, jus go" then hatua iliyofuata nilifuta kumbukumbu zake zote kuanzia pics, messages, namba na sikutaka hata kuzikariri kabisa, nikablock yaani nilifagia kila takataka then nikapitia almost kama mwezi hivi na huzuni kama naomboleza ila nilikubali maumivu ya weeks kadhaa kuliko mateso yasiyo na mwisho and final I'm here, life goes on unaambiwa... Mungu wangu huyu hapa ananiona yule dem hata niwe na ugwadu wa mwaka nikifungiwa room moja na yeye anatoka kama alivyoingia yaani nimepoteza hisia kabisa namuona kama Mashudu.

Pusi hazina huruma.
 
Kanuni namba moja kwa mahusiano imara, usijiingize kwenye mahusiano na mwanamke aliyekuzidi kipato. Hakikisha wewe ndiye una pesa zaidi yake.

Kwa sababu, mwanamke anajua sana kuchapa kihisia. Ukichanganyia na pesa alizonazo, anakupa kisu ujimalize mwenyewe. Usirudie..

Pili, hata usipokula ndiyo atarudi? Sakata dona, acha ufala Chalii. Utaharibu kibarua na hiyo M2 utasikilizia kwenye bomba. Achana na pusi ya watu.

Chukua chupa jipasulie kichwani. Piga hiyo kichwa, iambie acha upuuzi. Maumivu ya chupa yakianza, maumivu ya mapenzi hutayasikia.

Nina hasira leo. England kafungwa.
 
Kitu nlichojifunza khs madem ni kwamba ukimtongoza mara ya kwanza akakubali mkawa vzr lkn akaja kukuzingua mkaachana kwa muda basi usije ukamrudia, au ukimrudia usiwe serious nae, uwe unapiga mzigo tu na kutembea. Coz ukiweka hisia mbele ukaendelea na mapenzi yaleyale utakujakujuta sana. Wengi mkishatemana mara ya kwanza wanabadilika sana,anakua hajali tena, yaan hana cha kupoteza, ogopa sana ukiwa kwenye mahusiano na dem ambae hana cha kupoteza kwenye hayo mahusiano
Mkuu tupe hiyo sayansi ya wanawake
 
Daaah wanangu, Mwenzenu niko Hoi hapa Nilipo! Sina Usingizi, wala Siwezi hata Kula. Nimekuwa Fara Kinyama Kisa Mapenzi.

Ngoja Niwape Hii stori kwa Ufupi.

Kuna Dem mmoja, nilikutana Naye Supermarket, (ilikuwa Mwezi wa tatu 2022) nilimpenda na kumfungukia Hisia zangu, akawa Amenipa Namba!! Tukaanza Kuwasiliana.

Kumbe Ile Supermarket ni yake (nina uhakika maana alifunguliwa na mzee wake). Me aikujali wala nini sababu nina Kipato changu, nimeajiliwa Mahari. Nalipwa Kama 2 Mil.

Kweli Mwanzo Mapenzi yalikuwa Matamau sana, Tulikuwa tunaonana mara kwa Mara, tunachat na kuongea san, na alikuwa hana Hiyana Game alinipa La kibabe sana. Wazee mapenzi yalinikolea Vibaya Mno!! Nikaona Nimepata Dem wa Maana.

Baada ya miezi miwili...!!!
Siku moja mwanangu mmoja Ofisini, akanidokeza Jambo ambalo lilinishitua sana. Mwana Aliniletea Simu yake ambayo alikuwa ndani ya Mtando wa malaya Unaitwa Tagged, akaniambia Mzee embu angalia demu wako ambavyo hajatulia.

Mwana alikuwa amechati naye, na Kumtongoza kabisa, na Dem alikuwa anaelekea Kukubari ila alitaka kwanza waonane na Mwamba lakini pia alimpa namba yake ya simu ambayo nayo hiyo ilikuwa ni ile ile ya Dem, nilipoicheki( Mwamba hakuqa ameweka Picha yake!)

Daaah!!! Iliniuma Sana, ikabidi nichukue screen shot na Kumtumia Dem!!
Dem alikana Balaa na Kusema Kuna watu wanamchezea na wanataka Kutuvuruga. Sikumwambia kama Alikuwa anachati na Rafiki yangu. Alinifata hadi ofisini kuomba radhi na Kunisih nisiamini maneno ya watu.

Niliamua Kupotezea Tu wakuu.. si wajua Uanaume ni kazi. Ile account ikawa Imefutwa kule faster. Baada ya Muda wa Mwezi kama mitatu Tena, jamaa mwingine aliniletea tukio kama lile la mwanzo, daaah!! Hapa nilichoka zaidi na ukizingatia Dem namuelewa kinoma aisee!!

Nilitaka niachane naye kimya kimya, nikimuona kama ni malaya asiyejielewa!! Lakini nilishindwa kabisa. .... niliamua tena kumuuliza kuhusu jambo hili, lakini na wakati huu alikataa pia na account ikafutwa.

Maisha yakaendelea, baada ya mwezi alipata Shida ya kama sh. 1 mil. , Akawa aneniomba, mimi nilimwambia kiukweli sitaweza kukupa hiyo pesa sababu ni nusu ya mshahara wangu mzima lakini pia umeiomba leo na unaitaka leo.... ila nilimwambia nitakupa nusu nusu..

Demu alikausha akasepa, ikawa nikimpigia mara nyingi hapokei na akipokea anaongea kwa mkato sana! .... lile jambo lilinisumbua kwa kama wiki hivi nikaamua kumchana live tuachane akawa amekubari.

Baada ya wiki mbili aliwafata washikaji na kuomba samahani kwa kile kilichotokea. Wana wakaja kuniambia na Vile nilikuwa nampenda nikamsamehe maisha yakaendelea...

Nikawa nimemeahidi ile pesa aloomba kwakuwa aliamua kuikopa (alinambia hivyo) basi mimi nitamrejeshea taratibu kwa kumpa laki tano tano kila mwezi kwa miezi miwili.

Basi, mwez wa kwanza mambo yalikuwa mengi nikawa nimempa laki 4 tu. Nikamwambia mwezi ujao nitampa 6 ilobaki ili akamalizie deni. Akakubari na kusema ameweka juu laki moja so imekuwa tano akalipa.

Mwezi ulopita Ofisini walifanya ubwege wa kuchelewesha mshahara, ile tarehe ua demu kumpa hela ikafika lakini sina pesa. Nilijaribu kumwambia hali halisi, lakini akawa haelewi, kila siku anaulizia pesa...

Mazee, ilikuwa tarehe za mwanzo wa mwezi huu, aliamua kwenda kufunga mzigo, ila kila siku lazima aulizie pesa, na mimi nilkuwa bado sijapata...
Demu alichukia na kunitumia sms kuwa anajiona kama mwenye mikosi kila akitaka msaada toka kwangu anafeli ( ikumbukwe aba Supermarket, na ana drive gari kali, mimi sina hata baiskeli).

Keshoye nilimtumia Voice note, kumueleza hali ilivyo, na vile nilitarajia yeye angenielewa na kunishika mkono katika kipindi hiko!!

Aisee, voice note ilizua balaa!! Ugomvi ukawa mkubwa, ikabidi nionbe radhi lakini wapi...

Tukachuniana kama wiki hivi hatuongei, nikaja kumtafuta ili mambo yaishe akanikataa, nakunambia sifai kuwa nae!!

Niliumia sana, lakini nikajipa tumaini la kusonga mbele!! Jana akaja rafiki ake katika Stori, akanambia Amemuona Zaidi ya week yule dem anazurula na mwamba Mmoja Hapa mjini japo wanakaa Sehemu za Maficho..

Kwa Kweli imeniuma sana, coz nilikuwa nampenda na nimejitolea sana Kwake, kuanzia muda wangu, hadi jasho langu!!!

Lakini mwisho wa siku kaamua Kunitenda Kibwege sana.... kila Nikijaribu kumfuta Akilini wanangu, naona Kama naelemewa, sijui nilimpendaje Kifara namna hii....

Nimekwama hapa chakula hakipiti, kazi haziendi na sitaki kumrudia. Sijui nifanye nini
Mazeee.

Jasho lako ulilompa ni ahadi ya 1m, ambayo umeshindwa ukampa laki 4 tena ya maneno.

Unaumia kwa sababu ya ujinga, huwezi mhudumia, wewe tafuta single Mama au Mama ntilie.

Huyo wewe waachie wanaume wenye uwezo, unalipwaje 2m mtu anakuomba 1m miezi 4 huwezi msaidia?
 
Hivi mkuu ni kweli unaamini kuwa huyo demu ndo furaha yako!???mzee jipe furaha mwenyewe.

Usiwekeze furaha kwa mtu,hayo ndo matokeo yake ,akiamua kusepa unabaki unalia lia hata kula huwezi eti kisa demu daah!!!.

We endelea na mambo yako,acha muda ukuponye coz muda ni daktari mzuri,iko siku atajua thamani yako.

Usije kumuonesha kama bado unamtaka,next time ACHA KUPENDA PENDA NI UFALA HUO,piga mbupu sepa.
 
Nilikuwa na demu in the past,,na nilipitia yote hayo unayopitia,trust me hiyo hali huwezi kuizoea,chakula hakipiti,usingizi haupati,,nilichofanya niliomba likizo ya mwezi mzima kazini nikaenda kwetu kwa wazazi mkoa mwingine na nilipokuwa nafanyia kazi niliamua kufuta mpaka namba zake pamoja na rafiki zake,nliishi maisha ya kumbukumbu sana mimi ndugu pamoja na rafiki zangu pamoja na classmate zangu,,lengo lilikuwa ni kujitenga mbali na yeye kabisa,,nilifanikiwa kwa hilo japo ilinichukua zaidi ya mwezi,,nlijikuta mpaka nimeloose waiti from 78 to 69,,nashukuru Mungu nlifanikiwa kwa hilo,,

So hilo ni jambo la saikolojia najua itakuchukua muda sana na kama usipojitenga mbali naye kwa njia yeyote ataendelea kukuumiza hatakama mkirudiana, utapata pressure unakufa zako,,baada ya yote hayo nlikuja kujua hiyo hali ilinitesa sana kwasababu ndo yalikuwa mahusiano yangu ya serious kwa kipindi hicho,,nashukuru Mungu sahivi niko fresh tu.,ninaendelea kujichakatia mbususu,ukinizingua nahamia kwa demu mwingine,,mpaka pale ntakapoamua kuoa ndo ntampenda tena mtoto wa mtu,mahusiano ya sahivi hukatazwi kupenda ila inatakiwa akili yako uiandae kwa chochote kile
 
Back
Top Bottom