Wakuu mnawezaje kuheshimu pesa isitumike ovyo?

Wakuu mnawezaje kuheshimu pesa isitumike ovyo?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,255
Reaction score
93,777
Mimi sinywi Pombe, wala kuvuta sigara, wala sina starehee nyinginezo wala nn.

Kanisan Sadaka natoa, Dhaka natoa ila sio kihivo .

Michango kanisani nakua mzitooo sana kutoa .

Sasa Maajabu ya shetan anayetaka nisifanikiwe...., Isitokee nmevuta Pesa kwa ATM, au nmebeba Kwa vijiofisi vyangu ,au vyovyote vile ili mradi Wallet itune.

Wakuu Yaan najikuta nawashwa mnoo ,kihelele cha *******,, mbaya Zaidi ni kihelehele cha Kujionyesha kwa wanawake au mbele zawatu yaan "Ni Kijana msomi, mwenye hela ya kuishi".

Naweza kwenda mahali, labda nikakuta Madada yamekaa, yakishaanza kunisifia sifia basi Kama kuna Pombe karibu, Niwaagizia wotee sio bia tatu bali Bia zakutosha.

Majuzi kuna lidada nililishobokea mahali, basi nikaliona lamaana kweli and classic , basi likaniambia Nilitafutie Kileo changuvu, situkaongozana nalo aiseeee ..Likaaigiza Pombe Fulani zinaitwa Jack Daniel ,wanangu nilijua hela ndogo, kumbe ni elfu tisini chupa moja, na likachukua mbili , basi nikalipaaa ( ila baadae nikajiona Mpuuzi kweli ,dem mmekutana naye leoleo alafu nafanya ivo)

Mademu wa staili hii niwengi yaan namkuta kakaaa mahali au ofisin au vipi, ili mradi kanivutia, Nitamwambia nimtoe Out, na wote wanakubali, huko naenda kuharibu hela kisengeeee .

Basi hilo dem baadae Lodge likasema nilipeleke yakulipia Elfu hamsini. Bado msosi bado Nauli, bado hela ya kuliachia...... Nililichapa Bao moja, ila kuna Roho ikasema WEWE NI MPUMBAVU ..Stim zikakata nikasepa.

Eebwana... Niwe Dukani labda nanunua Nguo , aje dem Mkali , nitamshobokeaa najikuta nimemnunulia kinachompendeza,.,kama Leo nilikua Duka moja ivi nachek check mashat, Silikaja Bidada linamakalio makubwa jeupe nahips, likawa linajaribisha Nguo..akapenda magauni matatu ila hela anayo ya gauni moja,akaomba kuwekesha hela, yaan mpuuzi Mimi nimejikuta namnunulia magauni mawili yalobaki kwa elfu 74000 ,kisha likaniachia namba....kisha nikapita Mahali kula, nakuta Mmiliki wa hapo ni demu, Pisiii kwelikweli wakuu. Limejaa nyama haswaa .. Nikaagiza ugali Sato hapo...nikaliomba namba, likasema halina vocha... Wakuu nmeliachia Mwekundu mmoja.

Matukio ni mengi ila YOTE NI UFUJAJI WAHELA ,KWA MAMBO YA OVYOOVYO TENA KWA WANAWAKE ??????.

upande mwingine ,natoaga hela kwa wahitaj ,( hapa nikiri Nina Moyo wakusaidia ,hususani watoto ,watu wasojiweza, wagonjwa maana kuna wakat baadhi ya wagonjwa hawana Hela, ninalazimika kutumia Pesa zangu ).

Ila sasa michango ya PESA kanisan sitoiii..ila kununulia pombe madem , kutoa hela kwa madem, na mazagazaga hayo ,ni wakwanzaaa.

Mimi Similiki Gari, maajabu madem nayo piga, Hela za mafuta natoa Mimi ,sijui kodi na ushenzi waivo nafanyaaa.

Sasa nitoke niende sehem Fulani, nmeona dem , aiseeee nitajishobokeshaa weeee yaan kuna MTU niliwah kutana naye mida ya SAA NNE, nikamfanyia shopping ya laki mbili, alafu baada ya muda nikajikuta SINA NAYE HAMU..

Au nifike mahali kuna wanaume mwenzangu wamekaa, kuna namna Fulani tu najikuta nataka kujionyesha tuu ..
Juzi Mechi ya Simba na Red Arrows, kuna Mwanautopolo alikua anapiga kelele sanaaa baada ya simba kufungwa 2-0..akatukera, tukamwomba aende nje, lenyewe likasema, nawakeraaaa, kama mnataka nipeni elfu 40 ya pombe nlochangia hapa, niondoke.. wakuu nilijikuta natoa 40 elfu kwa mwanautopolo.

( na wameshanijua ivi..utasikia "Bro kaja, Mpishe Brooo hapo ..... Kama ni madem utasikia " Mkaka G...Doctor G ) .... Baada ya hapo mizingaaa!!.

Lkn kanisan wakisema mchango, sitoi.

SASA NATAKA KUA MTOAJI WA PESA KANISANI, NA NIWE MGUMU WAKUTOA PESA KWA MAMBO YA OVYOOVYO !!.

NYIE WAKUU, MNALINDAJE PESA NAKUJIZUIA MSIZITUMIE OVYOOVYO ZIWAPO MFUKONI???

( kuna Manzi ilibakia kidooooogo sana, nimpe Kadi akatoe hela et kisa nmechoka ,nataka kulala ).

NB... Nina Mwanamke ( Baby Mama, Kusema ukweli NI MWANAMKE MZURI WA SURA ,UMBO, RANGI, KAJAAA KWELIKWELI YAAN NI MWANAMKE NA NUSU NI MALAIKA, KANIZALIA WATOTO HAO ,WATOTO WAZURIIIIIIIIIIII ).
 
Lile dem nlolinunulia 2 Jack Daniel , hata lenyewe Leo mchana limenitext ivi...

"Baby kiukweli juzi ulipokua unahesabu hela kulipia hadi nilipoanza kunywa, nilikua najisemea moyoni 'Daahh sibora hata ungeninunulia Konyagi hiyo chenchi yote unipe"...

Anyway, hili likafanya niamin, kuna madem kumbe wanaigiza maisha .( utamwona anajionyesha wa bei kubwa, kumbe ndani hamna kila kitu.)
 
Mkuu ,kufeli nimeshajua ninafeli , nataka nitoke hapaa.

Kuna wakat napiga magoti nasali kabisa kwa kujutiaaaa .

Lkn baada ya siku narudi kulekule.

Bahati nzuri akili ya Kutunza Familia IPO .
Kama pesa ya kutunza familia ipo na mahitaji yako muhimu unapata, sioni shida hapo. We endelea kuzitumbua tu "We live once".
 
Pole.
Ila hata huko kanisani kumegeuka vijiwe vya wapigaji sikuhizi.

Cha msingi jifunze kujilipa kwanza pale utakapopata hela yoyote ile. Utaamua mwenyewe ujilipe % gani ya kila pesa unayoishika.

Unaeza ukaamua ujilipe 30% ya kila pesa unayoingiza, baada ya hapo unaendelea na matumizi yako ya kawaida.
 
Maadamu pesa ipo usijali mkuu endelea kutumia kwa sababu naamini hautupi bali unawezesha binadamu wengine kuishi vizuri hiyo sio mbaya.

Maisha ni haya haya mkuu,tukikushauri uache kufanya hivyo tunahofia uzeeni kwako utairudia hiyo steji mkuu kwa sababu hujaimaliza,hivyo wewe endelea kuishi katika hiyo steji na mwisho wa siku ikikupita hiyo steji utaacha mwenyewe tu huo upuuzi.

Na jambo la kuacha mwenyewe unakuwa ni ngumu kurudia kuliko jambo la kushawishiwa na mwingine uliwache..

Usijali mkuu maisha ni haya maadamu pesa ipo tumia mkuu
Upo sahihi Mkuu maisha ni hayahaya , ila kutoka moyoni mwangu, hii hali nimeanza kuichukiaa sana.

Saa ingine najiuliza..hii 200K kwann nisiipush kwa Baby Mama.

Kuna siku ,kwa siku hiyo moja, Nilipigwa mizinga kadhaa jumla yake ilikua karibu 400K.

Hii saa tatu ilopita, Kuna Bidada Nilikutana naye Kanisan, Alitumbuliwa na Awamu ya tano... Ni washikaji wa Kulana... Naye kaniomba Mwisho wa mwezi nimtafutie angalau 500K- 700K, kuna kaujasiriamali anataka kufanya.

Je hili unalionaje ??.
 
Pole.
Ila hata huko kanisani kumegeuka vijiwe vya wapigaji sikuhizi.

Cha msingi jifunze kujilipa kwanza pale utakapopata hela yoyote ile. Utaamua mwenyewe ujilipe % gani ya kila pesa unayoishika.

Unaeza ukaamua ujilipe 30% ya kila pesa unayoingiza, baada ya hapo unaendelea na matumizi yako ya kawaida.
Nmekupata Kwa uzuri Mkuu!!.
 
Upo sahihi Mkuu maisha ni hayahaya , ila kutoka moyoni mwangu, hii hali nimeanza kuichukiaa sana.

Saa ingine najiuliza..hii 200K kwann nisiipush kwa Baby Mama.

Kuna siku ,kwa siku hiyo moja, Nilipigwa mizinga kadhaa jumla yake ilikua karibu 400K.

Hii saa tatu ilopita, Kuna Bidada Nilikutana naye Kanisan, Alitumbuliwa na Awamu ya tano... Ni washikaji wa Kulana... Naye kaniomba Mwisho wa mwezi nimtafutie angalau 500K- 700K, kuna kaujasiriamali anataka kufanya.

Je hili unalionaje ??.
Mimi sioni shida wewe kutumia pesa mkuu,shida ninayoiona kwamba unatumia pesa kwa munaasaba wa kingonongono tu mkuu.

Hivyo ushauri wa mwanzo usizuie kutumia pesa kwanza,bali zuia mawazo yako ya kingonongono kwanza.

Utakapozuia kutumia pea hivyo wakati yaleeeee mawazo bado unayooo mzee hapo utajikuta siku kadhaa unarudi kwenye mzunguko ule uleee wa kutumia pes ovyo au unatafuta ungonongono mwingine wa kutumia pesaaa.

Hivyo kwa sasa pambana kuzia mawazo yako ya kingonongono ndipo utaweza kuzuia pesa zako zisitumike ovyo.

Umri wako mkuu nadhani unarange kati ya 25-35 hapo kati kijana akiwa na pesa anafuja sana yote kwa sababu ya mawazo ya kingono tu.
 
Komenti ya Kibabe sana hii ,ila ndo ivo Mkuu , Mimi Niko kwa 29.

Nitazingatia hili !!.
 
Yap.
Na hiyo % unahakikisha haipotei, unaiweka kwenye channel nyingine itakayo kuletea mpunga mwingine.
Nakuelewa Mkuu... akili ya kuwekeza ninayo, shida ,ikitokea nmechukua PESA hata uko nilipoiwekeza.

Itaishaa kwa mambo ya kijingaaaa jingaaaaa yaaan kuna ka upuuzi kwamba "Aahh Kesho itaingia nyingine'.

Kuna MTU nimewah muomba ushauri, akaniambia .Sio Bure, kuna MTU kakufunga ili usiwe unaona Pesa zako zinapoenda.

Lkn nakaaga nawaza, Hivi huyo MTU ndo afanye akili ikubal kutumia PESA kwa mambo ya ngonongono??.

Et natuma Nauli kwa dem laki hamsini., hapo nilipie Lodge labda wiki , Chakula, nahela ya kumpa??

Namkosea baby mama, Najikosea mwenyewe , alafu ukizingatia ananipenda mno kwelikweli yaan ananipenda mpaka ninajua .

Unajua napitia mazingira Fulani yanayoumiza Moyo wangu.

Nahii hali Siipendii.
 
Anza kwa kuacha tabia ya kupenda kuonekana una pesa kw watu maana hii ndo inakukost mambo yote
Tabia ya kutaka watu wakusifie uonekane don kijana msomi una mahela ndio shida inapoanzia
Ukiikomesha hii tabia ukaweza kukaa na pesa zako zisikuwashe washe basi hata kupanga namna nzur ya kuztumia ambayo haitakuumza na kukufanya ujutie baadae utaweza pia
Just start by changing your mindset kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom