Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Dah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na game sijapiga hii hela si Bora ningelewa najuta Mimi na hii sio mara ya kwanza nashindwana na demu sababu ya kumbembeleza [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]