Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Tupe ushuhuda huku ukiambatanisha na pichaWambulu sio wa kuoa jamani. Mimi mwenyewe yamenikuta.
Tupe ushuhuda huku ukiambatanisha na pichaWambulu sio wa kuoa jamani. Mimi mwenyewe yamenikuta.
Picha ya nini shuhuda zinatolewa hapo juu?(soma comments)hao viumbe pasua kichwa dada yanguTupe ushuhuda huku ukiambatanisha na picha

Anzisha mada kuwahisuNaomba kujua wanyamwezi wapoje kitabia
Inasemekana kuna uhusianohivi wana uhusiano wowotena Iraq au majina tu?
Zaidi ya 75℅ ya wanaume waliochangia mada wanatoa negative effect kwa wanawake wa hilo kabila,ingekuwa ni mmoja au wawili ndo ungeuliza ivyoNaamini kila kabila kuna wenye tabia mbaya
Na wenye tabia nzuri.
mtu akipitia experience mbaya basi anasema kabila lote wako vibaya mkomee.
Mimi ni Muiraqwi na nimekulia kwa Wairaqwi haswa. Na comments zingine hapa tofauti kabisa na mimi nilipotoka.
na wanatoa comments chafu naomba kuwauliza mmepitia wasichana wangapi au mmedate wasichana wangapi wa kiiraqwi?
Huwezi ku date msichana mmoja ukasema kabila lote wahuni.![]()
Afadhali umekuja, njoo pm tuyajenge tafadhali.



umeshapata pa kuanziaMkuu nimesikia jamaa wanapenda sana sex na ni watam sana halafu na mimi napenda kugegeda kuliko hata kula kwahiyo najua nitayafaidi mema ya nchi taratiiiibumeshapata pa kuanzia
Mbulu ipandishwe hadhi kuwa Kanda maalumuWengi wao ni weupe sana...
Wanahuruma sana, hawapendi kuona binadamu mwingine anaumia kwa ajili...
Wepesi wa kutoa majibu ya nimekubali, au asipotoa jibu ni wewe tu kujiongeza...
Mengine tuyaache kama yalivyo...
Mbulu mizigo ya maana Kama Rwanda tu. Hakuna tofauti. Lidumu Shirikisho la Afrika MasharikiMbulu ipandishwe hadhi kuwa Kanda maalumu
mkuu wanyiramba umewarudia kuandika😂Tanzania tuna Makabila zaidi ya 120, ila haya walasitothubutu
Wajita, Wakerewe, Wazinza, Wahaya, Wanyambo, Wanyamwezi, Wambulu, Wairaqwi, Wangoni, Wanyiramba, Wamwela, Warangi, Wanyiramba.
M nshakuwa na marafiki zangu wa kiirak m nkajua walokole wenzangu duh, naeza nkatambulishwa kwa watu wakidai ndugu zako ila kuja kujua nilichoka nkanyoosha mikono
Yaan kaka wewe acha tu. Huyu mtu mwanamke wa kabila hii ni wa ajabu sana.