Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Acha uwongo ,wairaq ndio hao hao wambulu ,labda angeuliza wairaq na wafyomi ndio ungekuwa sahihi
Sasa hapo nimeongopa nini mkuu.
Kwa hiyo unataka kusema wairaq sio kabila?
Kama unasema wairaq ndio wambulu hilo jina la wairaq limetokea wapi?
 
Neno wambulu linatokana na jina la walaya ya mbulu but so watu waanza kuta wambulu badala ya watu wa mbulu ila jina la kabila ni wairaq siyo wambulu
 
Na wabarbegq ndio wapoje mkuu?ni tofauti na wairaq?
 
Wairaq na wambulu ni wamoja au ni makabila mawili tofauti
Hakuna kabila la wamburu....kabila niwailaq,Wafyomi,barbaek n.k......Wanaitwa wamburu kwasababu yahistoria yamji walio fikia miaka iyo wakati waukoloni.walifikia mji unaitwa mburu mji ambao nmoja yamiji mikongwe Sana Afrika mashariki.ndio wakaanza kusambaa maeneo mbalimbali yamkoa wamanyara.;Muoaji simshauri ata robo kuoa hao wairaq(Wamburu) nihatari nakwenye maisha yake atakuja kujuta ila Kama anatakuo kwauzur wasura Apo sawa ila ajue kuchapiwa Ni lazma atakama awe fundi vp au awe namashne kubwa vp ajulmshie mkongo,na dawaT.hao uchoyo wa pampuchi kwao nidhambi...........Staki kuadsia klicho npata uko ila nmeacha familia uko.kwanza siajabu kukuta mtoto wakwanza niwako wapl sio wako watatu niwako.Moja ya iman yao kubwa yakuhalalsha umalaya nikuwa mwanamke hatakiw kuzaa sehemu moja maana anaweza zaa watoto wajnga wote.kwaiyo mtu anaweza kuwa kwenye ndoa lakn kabeba mimba yamwingne.....;kifupi ili kabla wanawezana wao kwa wao
 
Kama ni kweli basi ni watu wa ajabu! Lkn mm naamini wapo tu baadhi wenye tabia hiyo lkn sio wote.
 
Mkuu umenena vyema sana na umeshauri vyema sana lakini tuna shauku ya kujua kisa chako
 
Ile ktu ipo kwenye damu mkuu asilimia99.9.wako ivo mkuu me nimoja Kati yawatu waliokuwa wanapnga hl lasio wote naniliwapenda Sana nkaanza kutafuta uyo sio wote ili nmuoe.Hydom,mburu yenyewe,Dareda,garapo,karatu,kateshi nkaja kukutana nauyo sio wote Babati mjini....baada yamiaka kadhaa ndio nikaamini ata Sio wote niwote tu....nahaijalshi awe msomi au Asiwe msomi.uktaka kushuhudia single mothers wengi nenda mkoa wamanya.Hakuna cha sio wote Hawa niwote kunarafki yangu kule wakabla hilo2018 aljiuwa baada yakushndwa kuzuia haibu yamamaake kupgwa rungu navjana wakat dingi yupo....yani kule unaweza gonga mama,mtoto,shangazi,mjukuu.namaisha yanaendelea bila shida.....wivu kwao mwiko.
 
Mkuu umenena vyema sana na umeshauri vyema sana lakini tuna shauku ya kujua kisa chako
Mkuu hii staki kusimulia kabsa ila imentesa kichwani miaka6, kwasababu nikuwa nampenda Sana Yule mwanamke wakiiraq ukiachana nauzur tu pia alkuwa pretender mzur walil love.Afu waungwana wananiambia Hawa kuwanao makni me nihatari me najibu sio wote.......Kifupi hakuna sio wote kwenye makabla yote yaasili ya mburu,nakama yupo sio wote uko basi kachanganya damu ila ingawa iman yangu lazma atakuwa nachembechembe tu za niwote
 
Ndugu mleta mada wewe ni mwanaume na unapaswa uwe mwanaume fanya kile kilichoafikiwa na moyo wako akili yako na dhamiri yako ikiwa inaongozwa na Mungu.

Hakuna mwanamke mbaya moja kwa moja hata kama ni mbaya kiasi gani
Hakuna kabila au jamii mbaya moja kwa moja hata kama hio jamii inahusishwa na ubaya kwa kiasi gani.

Kuna watu wameoa kwenye familia za wachawa na washikina lakini Wamepata mke bora.

Wengi wanaotoa ushauri hapa hakuna alie oa wala kuolewa kwa hio mambo ya ndoa yapo juu ya uwezo wao na ndio maana wanatoa ushauri dhaifu sana eti utagongewa!!!

Mtu aliekwisha oa ama kuolewa hua hawazi tena kugongewa na mambo kama hayo.

Ushuhuda yupo mama mmoja muirak kijijini kwetu aliweza kuolewa na mchaga na ndoa yao mpaka sasa ipo na imedumu mpaka sasa wana wajukuu wakubwa kabisa.

Kama unavyojua harakati za wanaume wa kichaga kwenda kutafuta maisha mjini karibu mwaka mzima hali amemuacha mke nyumbani.
Ndivyo ilivyokua kwa huyu mzee ninae mshuhudia hapa, nakuambi wanaume wenzake walio oa wachaga wake zao walikua wanatoka nje kwa kiasi kisichoelezeka mpaka kuzaa na nje ya ndoa lakini kwa huyu mmbulu ilikua tofauti na matarajio ya walio wengi.

Mimi mwenyewe nimeoa kanda hio hio. Nilipoenda kumtambulisha kwetu kwamba binti huyu ni kanda ya manyara watu walinicheka ya kuwa nitagongewa kwani ndio tabia yao! Mpaka sasa mwaka wa 6 ndoa iko powa mno no kugongewa wala nini.

Kabla yake nilikua naishi na binti mmoja mchaga mwenzangu lakini nilishuhudia akigongwa mara mbili na mwishowe kanikimbia.

Kwa hio usisikilize kila maoni ya watu yakwamba watu fulani wako vile ama hivi.

Mimi na kushauri muoe huyo dada na kushuhudia ndugu yangu utakuja kushukuru hapa hapa jamii forum ya kwamba ulifanya chaguo sahihi.

Mungu awaongozeni na kuwasameheni kwakua mmesha zini na ili mahusiano mazuri na Mungu ya wareeni muoe huyo dada.
Mkuu umemaliza.
 
Wakorofi hao hassira zipo mlangon ...alafu unaoa ww ila uta share na marafiki zako au watoto wa mjin wana sema utamegewa
 
Haya mambo magumu sana, naona watu full kuhukumu kabila zima kwa mapungufu ya wachache
Ah mkuu wengi wapee ..ila niliwah kushuhudia mshikaj wangu chuo pale moshi alijifanya kujijaza kwa hawa wa iraq mwanzon wana kuwa makin lkn jamaa demu aligongewa na CR yaan ilikuwa ni counter attack
 
Na wabarbegq ndio wapoje mkuu?ni tofauti na wairaq?
Hao ni tofauti na wairaq,wanapatikana kwa wingi wilaya ya Hanang ,tamaduni zao zinafanana na wamaasai ,kujiremba kwa kutoboa masikio,kujichora mwilini,kuvaa shanga ,but wanawake wa wabarbaig wanavazi la ngozi ,wanapaka samli ,hadi viatu ni ngozi za wanyama ,ni wafugaji ,wanatembea na mkuki na fimbo ,vile vile wanang'oa au kuchonga meno ,pia wanafahamika kwa jina la datoga
 
sio wamang'ati hao?

ooh hapo sawa nimekupata
Mang'ati - nadhani ni neno la kibarbaig ambalo tafsiri yake siyo nzuri na hao wabarbaq walipewa hilo jina kutokana na tabia zao so mang'ati ni kama a.k.a ya barbaiq so ukisikia mang'ati ndio hao wabarbaiq
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom