Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,366
- 12,023
Ni waaminifu mno waki ahidi kitu so we tuma tuu lazima ajekuna mmoja yupo kibaha halafu mm nko katikati ya jiji hapa, hajakataa kuja ila tu anahitaji nauli, nimtumie!? au italiwa hyo.
Ni waaminifu mno waki ahidi kitu so we tuma tuu lazima ajekuna mmoja yupo kibaha halafu mm nko katikati ya jiji hapa, hajakataa kuja ila tu anahitaji nauli, nimtumie!? au italiwa hyo.
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision

Daa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?







Ok,shukran sana mkuu,nimeanza kuunganisha dot
Mim nilikuwa sitaki kusex nae mapema lakini yeye last week Ali force kusex tena getoni kwake,,najiuliza tu yawezekana tupo wengi,,mhhh

Haya mambo magumu sana, naona watu full kuhukumu kabila zima kwa mapungufu ya wachache

Ndugu mleta mada wewe ni mwanaume na unapaswa uwe mwanaume fanya kile kilichoafikiwa na moyo wako akili yako na dhamiri yako ikiwa inaongozwa na Mungu.
Hakuna mwanamke mbaya moja kwa moja hata kama ni mbaya kiasi gani
Hakuna kabila au jamii mbaya moja kwa moja hata kama hio jamii inahusishwa na ubaya kwa kiasi gani.
Kuna watu wameoa kwenye familia za wachawa na washikina lakini Wamepata mke bora.
Wengi wanaotoa ushauri hapa hakuna alie oa wala kuolewa kwa hio mambo ya ndoa yapo juu ya uwezo wao na ndio maana wanatoa ushauri dhaifu sana eti utagongewa!!!
Mtu aliekwisha oa ama kuolewa hua hawazi tena kugongewa na mambo kama hayo.
Ushuhuda yupo mama mmoja muirak kijijini kwetu aliweza kuolewa na mchaga na ndoa yao mpaka sasa ipo na imedumu mpaka sasa wana wajukuu wakubwa kabisa.
Kama unavyojua harakati za wanaume wa kichaga kwenda kutafuta maisha mjini karibu mwaka mzima hali amemuacha mke nyumbani.
Ndivyo ilivyokua kwa huyu mzee ninae mshuhudia hapa, nakuambi wanaume wenzake walio oa wachaga wake zao walikua wanatoka nje kwa kiasi kisichoelezeka mpaka kuzaa na nje ya ndoa lakini kwa huyu mmbulu ilikua tofauti na matarajio ya walio wengi.
Mimi mwenyewe nimeoa kanda hio hio. Nilipoenda kumtambulisha kwetu kwamba binti huyu ni kanda ya manyara watu walinicheka ya kuwa nitagongewa kwani ndio tabia yao! Mpaka sasa mwaka wa 6 ndoa iko powa mno no kugongewa wala nini.
Kabla yake nilikua naishi na binti mmoja mchaga mwenzangu lakini nilishuhudia akigongwa mara mbili na mwishowe kanikimbia.
Kwa hio usisikilize kila maoni ya watu yakwamba watu fulani wako vile ama hivi.
Mimi na kushauri muoe huyo dada na kushuhudia ndugu yangu utakuja kushukuru hapa hapa jamii forum ya kwamba ulifanya chaguo sahihi.
Mungu awaongozeni na kuwasameheni kwakua mmesha zini na ili mahusiano mazuri na Mungu ya wareeni muoe huyo dada.

Afadhali umekuja, njoo pm tuyajenge tafadhali.Naamini kila kabila kuna wenye tabia mbaya
Na wenye tabia nzuri.
mtu akipitia experience mbaya basi anasema kabila lote wako vibaya mkomee.
Mimi ni Muiraqwi na nimekulia kwa Wairaqwi haswa. Na comments zingine hapa tofauti kabisa na mimi nilipotoka.
na wanatoa comments chafu naomba kuwauliza mmepitia wasichana wangapi au mmedate wasichana wangapi wa kiiraqwi?
Huwezi ku date msichana mmoja ukasema kabila lote wahuni.![]()
wanyaturu na warangi wanafanana sio?Yes...myaturu yuko singida....wasoft sana ....wana mapenzi matam sana...hata kama ni cd bado ni mtam sana anafurahia tendo..wana harufu nzuri sana mwilini na unaweza ukashangaa hata kama ni cd anakojoa several times na kesho anakutafuta
wanazingua sio kwa hiyo makabila mengine hamna malaya?Naamini kila kabila kuna wenye tabia mbaya
Na wenye tabia nzuri.
mtu akipitia experience mbaya basi anasema kabila lote wako vibaya mkomee.
Mimi ni Muiraqwi na nimekulia kwa Wairaqwi haswa. Na comments zingine hapa tofauti kabisa na mimi nilipotoka.
na wanatoa comments chafu naomba kuwauliza mmepitia wasichana wangapi au mmedate wasichana wangapi wa kiiraqwi?
Huwezi ku date msichana mmoja ukasema kabila lote wahuni.![]()
Huo msemo ndio wanaotumia kuita wanaume, haina tabu, ila ndio kama walivyosema watangulizi.Daa kumbe,,,nachoshangaa huyu duu kila muda ananiita"baba yangu" sijui ana maana gani?
wanyiramba ni wa singida?. Dah Ni moja ya kabila ambalo wanawake hawajui Wala hawajawai kumkatalia mtu, ...
Naskia pia haya makabila Yana sifa hzo hzo
Wanyaturu
Wanyiramba
Warangi
Wa Iraq
Wambulu
Afu ukiangalia geographical location Ni moja
Yan manyara,singida dodoma ndo hayo makabila yalipo
Yes mkuuwanyiramba ni wa singida?
Mkuu ngoma vipi huko? au kwa jina lingine umemeKipindi nafungua Uzi nidhani unasemea mademu wa huko uarabuni kumbe wa kaskazini sawa
NB:nasikia mkuu sina hakika huwa wanapenda ngono sana na ndio maana kle huwezi sikia vyesi vya marriages under 18+ ni big case kivile
wakarimu sana aisee, akina desiiNataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Ni wakarimu kwa kila kitu! Jina lao la utani wanaitwa "MBULU UNITED" unakula mama na mtoto bila shida!Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Hivi Wairaqw na Wambulu ni makabila mawili tofauti??. Dah Ni moja ya kabila ambalo wanawake hawajui Wala hawajawai kumkatalia mtu, ...
Naskia pia haya makabila Yana sifa hzo hzo
Wanyaturu
Wanyiramba
Warangi
Wa Iraq
Wambulu
Afu ukiangalia geographical location Ni moja
Yan manyara,singida dodoma ndo hayo makabila yalipo
Ni wa moja ,Hivi Wairaqw na Wambulu ni makabila mawili tofauti??