Kwizer
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 420
- 689
Ninavojua kwa Wachaga tu kwa ujumla, wao habari za Mapenzi kwao huwa ni kizungumkuti, wameweka sana akili zao kwenye kufanya ushindani wa kutafuta pesa.Wamachame je??
California love
Ninavojua kwa Wachaga tu kwa ujumla, wao habari za Mapenzi kwao huwa ni kizungumkuti, wameweka sana akili zao kwenye kufanya ushindani wa kutafuta pesa.Wamachame je??
California love
Ni walewale. Wanapenda waitwe Wairaqw kuliko WambuluHivi Wairaqw na Wambulu ni makabila mawili tofauti??
Kuchoma dawa ndani kukupumbaza, kwa wao ni Jadi yao. Ndio maisha yao na ni wagawaji wazuri mnoo! Sikupi rejea, hii ni mimi mwenyewe nimeiishi.




vipi ulioa huko nini? kuna wale wamechanganyikana na waarabuhivi wana uhusiano wowotena Iraq au majina tu?Ni walewale. Wanapenda waitwe Wairaqw kuliko Wambulu
vipi ilikuaje?Mh, kwa nilo yaona juzi kwa jirani,hao watu sio japo nahisi siwote wako hvo
Kuchoma dawa ndani kukupumbaza, kwa wao ni Jadi yao. Ndio maisha yao na ni wagawaji wazuri mnoo! Sikupi rejea, hii ni mimi mwenyewe nimeiishi.
Aisee pole sana kilichonikuta sitokuja kusahau hawafai hata kidogo ni maharage ya mbea nusu maji yameivaNataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.
Tabia zao ni za ajabu ila ni wazuri wa sura lakini kama una roho nyepesi nunua kitanzi mapema.Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.
M nshakuwa na marafiki zangu wa kiirak m nkajua walokole wenzangu duh, naeza nkatambulishwa kwa watu wakidai ndugu zako ila kuja kujua nilichoka nkanyoosha mikonoAisee pole sana kilichonikuta sitokuja kusahau hawafai hata kidogo ni maharage ya mbea nusu maji yameiva
Wairaq na Wanyaturu walichonifanyia sitokuja kusahauM nshakuwa na marafiki zangu wa kiirak m nkajua walokole wenzangu duh, naeza nkatambulishwa kwa watu wakidai ndugu zako ila kuja kujua nilichoka nkanyoosha mikono
Yaan acha tu nawajua sana hawanaga hapana nmewalea kama wadogo zangu lakin n hatar saaaana inabid uwe na moyo mkuuuWairaq na Wanyaturu walichonifanyia sitokuja kusahau
Nilishawahi kumuuliza mzee mmoja wa kinyaturu kwanini wanakeketa wanawake! akajibu kuwa walikuwa wana wakeketa ili kupunguza nyege kwasababu wanawake wa kanda ile wana nyenge sanaYaan acha tu nawajua sana hawanaga hapana nmewalea kama wadogo zangu lakin n hatar saaaana inabid uwe na moyo mkuuu
AsanteDaaa pole pia mkuu
California love