Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Acha nikupe kisa kimoja kinachonihusu.

Mwaka fulani nilipata field uko hydom, kiukweli nilista ajabu kuona uzuri wa wasichana wa kule, nikajikuta nimeshaingia kwenye mapenzi na binti wa kimbulu(alikua mwajiliwa). Mapenzi yakawa motomoto(nikajikuta marioo). Nitake nini mwanaume nisipate, out za kila mara, nikaona hapa naoa.

Mwanamke mpole, mnyenyekevu, mkarimu, nilijiona mbabe kweli.

Baada ya miaka miwili mwanamke akaanza kulazimisha sana ndoa, akadai kama sina hela yeye atagharamikia kila kitu hili mradi nimuoe, nikaona hii siiwezi. Nikamwambia asubiri kidogo.

Aisee kumbe demu ni demu wa masela, wanaoniita shemeji ndiyo mabwana zake.

Kisa ni kirefu hila hawa hawajui kukataa, ukioa jua na jirani yako atakula tu.

Nakupa task nenda uko ukweni, jaribu kumtongoza rafiki/mdogo mtu/dada mtu/ au mke wa mtu, ukikataliwa basi oa

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Mi naona kujiridhisha zaidi angemtongoza Mama mtu.
 
wanyaturu na wanyiramba wote n sawa kwenye Mambo yetu.
 
Tanzania tuna Makabila zaidi ya 120, ila haya walasitothubutu

Wajita, Wakerewe, Wazinza, Wahaya, Wanyambo, Wanyamwezi, Wambulu, Wairaqwi, Wangoni, Wanyiramba, Wamwela, Warangi, Wanyiramba.
Wamachame je??

California love
 
Tanzania tuna Makabila zaidi ya 120, ila haya walasitothubutu

Wajita, Wakerewe, Wazinza, Wahaya, Wanyambo, Wanyamwezi, Wambulu, Wairaqwi, Wangoni, Wanyiramba, Wamwela, Warangi, Wanyiramba.
Bila kusahau wapare
 
Naamini kila kabila kuna wenye tabia mbaya
Na wenye tabia nzuri.

mtu akipitia experience mbaya basi anasema kabila lote wako vibaya mkomee.

Mimi ni Muiraqwi na nimekulia kwa Wairaqwi haswa. Na comments zingine hapa tofauti kabisa na mimi nilipotoka.

na wanatoa comments chafu naomba kuwauliza mmepitia wasichana wangapi au mmedate wasichana wangapi wa kiiraqwi?
Huwezi ku date msichana mmoja ukasema kabila lote wahuni. 😤🤬
Long time kumba...
 
Wanapenda vita sana, na sasa hivi wanapenda wamarekani
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.

Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
 
Tanzania tuna Makabila zaidi ya 120, ila haya walasitothubutu

Wajita, Wakerewe, Wazinza, Wahaya, Wanyambo, Wanyamwezi, Wambulu, Wairaqwi, Wangoni, Wanyiramba, Wamwela, Warangi, Wanyiramba.
wanyamwezi wana shida gani?
 
Mmenishtua sana. Anajifanya mgumu japo alinipa kirahisi mno..

Tatizo antenna hakuna. Picha iko scrach sana , muda mwingi ni scrambled channel
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom