katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,758
Ni wote hii tabia mnayo sema kwanza wanaume wanatesa sana wake,zao hawana utu matunzo zero wanapenda nyapu wote ni wachawi wakupindukia ukila limbwata la huko kwishaHaya mambo magumu sana, naona watu full kuhukumu kabila zima kwa mapungufu ya wachache

