Hivi wairaq wapoje kitabia?

Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Yaan kaka wewe acha tu. Huyu mtu mwanamke wa kabila hii ni wa ajabu sana.

Utashangaa jinsi anaweza kushirikiana na watu eg kipesa ....kikazi....kiushauri ukaona kabisa ni watu waliowahi kuhusiana kabisa kimapenzi...

Lakini cha ajabu ni jinsi wanajuwa kujikausha wakiwa na hawa colleagues wao. Wakikutana nao ni macho makavu na wewe utaishia kuamini ni shemeji kweli...cha ajabu utawaza michongo wanayopeana ni ya ukaka na udada tu?

Cha msingi usitambe mbele ya mashemeji zako hawa....wala usijione wewe ndio kidume...utaishia kuchekwa...

Hawajui kupenda kwa kweli. Nina experience mbaya sana na mwanamke wa kiiraque...kuna wakati nlielewa kwanini watu hujiuwa.... alinifanya jiweze kupata mvi wiki moja wiki moja hazipo...

Damage niliyopata kiuchumi ..kijamii ni kubwa sana pia... they are very toxic people. .. ana uwezo kuuma na kupuliza...kukudharau kusha kujifanya anakuheshimu....kweli sojamfumania but ninaweza kumtathmini anavyonichukulia poa....boya....

Ninatambua wazi kwamba dawa ya mwanamke mkatili ni mwanamke mwema. Niko try kujenga uhusiano hata kama ni mhaya muuza bar na mwenye watoto...ni bora mara mia kwani ukimkuta ofcn na wanaume sio kosale anatafuta riziki......akitongozwa ataangalia chini....akikubali kuwa wa kwako mwili utasema....ukimkuta na mtu aliyewahi kuwa wake ataona haya.....na kubwa kuliko yote ATAKUPA MAPENZI....

ninawaza kusogea nyuma taratibu. Nitamchukulia poa kama anavyonchukulia....nothing serious. ...watoto tutalea. Kuteseka hadi siku ya kufa nimesema hapana.she has the capacity and capability ya kukufanya mtumwa maisha yako yote.....hujiona wana akili kuliko kila mtu.....salama yako ukiishi nae usijibizane.....jifanye mjinga...fanya anachotaka..

Wengi wao ni type 2 kwa mujibu wa huyu jamaa hapa.

Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?
 
Nimekaa mbulu mwezi mzima kikazi, Kwa kweli hawa dada zetu ni weupe na wazuri sio haba shida yao ni kuwa wana huruma sana Kuna familia moja nilitembezea Rungu almost yote nkaacha tu katoto ka Secondary tena kwa huruma zangu tu ila nako kalisha jaa Full.
 
Hahahaha mkuu kweli unawajua aisee.
Nilipata mdangaji fulani hivi wa kinyaturu likawa linaenjoy sana mapenzi baada ya kuachana hapo nikampotezea baada ya hapo akaanza kunisumbua nikamchakate tena nikamblock.
Nitumie namba yake 0719 037468
 
Acha ufwala basi, unakataaje kei ya bure!? Au we ni mlokole?
Ok,shukran sana mkuu,nimeanza kuunganisha dot
Mim nilikuwa sitaki kusex nae mapema lakini yeye last week Ali force kusex tena getoni kwake,,najiuliza tu yawezekana tupo wengi,,mhhh
 
Usinikunbushe, mary ulipo jua ulisababisha nikataka kujiua sababu tu ya penzi lako. Sina ham na wairaq ni sawa na mchwa, wanakutafuna ndani ila nje uko fresh

Alafu ni mimi hapa niliuevunja mipango yako na mary
 
Mkuu kaza moyo sana.....kaza moyo saaana.kabla ya kuoa huko..Muombe Mungu saana...utalia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom