Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Kwani kabla ya yesu watu walikuwa hawapati msaada. Acheni Imani za mapokeo. Mmepokea mpaka kuzidi mipaka na waliokuletea wanabaki wanashangaa na kujiuliza. Hivi Hawa watu ni wazima mbona wamepitiliza kuliko sisi tuliowaletea.
Kwani kabla ya technologia ya simu na computer watu hawakuishi? Mbona unagharamia simu na magari, acha kwani hata hao wazungu wengine wameacha kutumia magari wanatembea kwa miguu kwenda sokoni na kazini. Wanakushangaa wewe unatumia simu ya laki 3!
 
Assalaam,

Naona baadhi ya watu mnasema ni tangayo plus utapeli,

Niseme tu baadhi hamjui na hamjafikwa, ningesema nitag rafiki nilikuwa nashirikisha kuhusu hili tatizo la dogo na hawakuchoka kunitia moyo,niseme mengi,

Niseme tu dogo yupo ok,maana anaenda shule na anasema haumwi chochote na shule anaelewa Hadi anajishangaa,

Niwaambie tu majuzi katoa tandu wawili sitaki nielezee walitoka kwa njia ganj,maana alikuwa akikaa anahisi mwilini anatembelewa na wadudu lkn hawaoni,
Hao ulowaamini ndo wanoleta hivo vitu na kuvitoa ili wakufanye ww uwaamini zaidi

Yni w.ke ni wepesi mno kujiingiza kwenye shirki kwa vitu vidogo vidogo tu

Ivi unadhani ni ww wa kwanza kusumbuliwa na hayo mambo?

Najua unakijua kisa cha Nabii Ayubu ivi uyo nduguyo angeumwa kma Nabii Ayubu si mungeuza mali zote nyinyi ili mumtibu

Ndugu yangu m nakushauri acha kuamini ushirikina wa hao matapeli

( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

الزمر (65) Az-Zumar

Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
 
[emoji736]️
 
Kwahio unataka sema yule tapeli na mkwepa Kodi muuza mafuta ya upako ndo nafanya hio miujiza
 
Imani za kijinga Sana hizo peleka mgonjwa muhimbili akahudumiwe na specialist wew uliona hivo vitu vinavotoka?? Hao waombeaji sijui waganga wanakujaga navyo hivo halaf wanajitia vimetoka kwa mtu
 
Issue hapo sio mvaa kobazi wala mvaa msalaba....

Nasema tena hakuna mtu awezae kutapika hayo madude awe kwa kunywa mafuta au kwa kusomewa....ni usanii tu
Juu hapo ulisema Qur'an ni tiba au ponyo hapa unajipinga tena?
So embu ipinge kwa sauti hapa hiyo Qur'an ambayo huwa mnasema haina shaka!!
 
ushenzu huu uwa unafanywa na ndugu wa karibu kabisa, mtu wa nje ya familia au ukoo wenu ni ngumu kuwa na connection ya urogi huu. ni ndugu ndio wenye tabia iyo.

this is Africa
 
Kweli kabisa. Yaani ni utapeli tu
W.ke ni wabishi sanaaa na huyu binti kashatekwa Akili na hao watu

Yni hawa ni kma wale Ramba Ramba

Wanakuja kukuwekea vitu kwako hlf wanajidai wanataka kuvitoa kumbe wao ndo waloviweka mm nyumbani kwetu hawakuwahi kuja wale wajinga ila kwa majirani ndo walienda

Sasa huyu anafanyiwa mazingaombwe na hao alowaamini na yy anazidi kuamini
 
Inasikitisha Sana kweli waafrika tutazidi kua maskini kwa akili za namna ya hao watu wanaoamini mazingaombwe
 
Ona huyu. Mwili wa binadamu unaweza kutoa tandu. Ataishi vipi mwilini na atatokea njia gani. Weka mazingira ya nyumba Yako safi Ili uondokane na Imani potofu
Eti eeeh

Sijasema katoaje na ilikuwaje mzee, embu mjifunze kutokuhukumu BASI khaaaaa!!

Ndo maana nimesema sisemi ilikuwaje na Nini kilimtokea kwa wakati huo,,,,,amini unachoamini
 
Back
Top Bottom