Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Dogo anaendelea visuri,lkn analalamika Kuna kitu tumboni kila akienda haha haitoki na anakojoa sana na leo kasema Kuna kitu kilikuwepo chini ya kitovu kimetoka,kila akikojoa tumbo linapungua,,kiukweli anakojoa sana
Usipunguze wala kukatishwa tamaa na kitu au mtu wa aina yeyote ile...Maombi, Imani, kutubu na kumkabidhi mungu hili jambo amtendee mema na kumpunzisha na mateso anayopitia ndio kupona kwake mtoto...Katika imani ya roho mtakatifu na upendo wake mungu baba mwenye kuumba vyote ulimwenguni amini mtoto amekombolewa kutoka katika nguvu za giza AMEN 🙏🏼
 
Story ya kupika😅kuvutiw wateja wapyq wa mwamposa😅😅hatudanganyiki, watoto wa kizanziber na kupenda elimu dunia wapi na wapi😅wao wanapenda ilmu akhera bana
mawardat sio mtu wa fix hizi.
Huyu ni ostadhat kindaki ndaki hawezi kupromote maombi kamwe.
Angeandika mwingine ningetia shaka.

Naufahamu msimamo wake juu ya imani yake.
 
Usipunguze wala kukatishwa tamaa na kitu au mtu wa aina yeyote ile...Maombi, Imani, kutubu na kumkabidhi mungu hili jambo amtendee mema na kumpunzisha na mateso anayopitia ndio kupona kwake mtoto...Katika imani ya roho mtakatifu na upendo wake mungu baba mwenye kuumba vyote ulimwenguni amini mtoto amekombolewa kutoka katika nguvu za giza AMEN [emoji1374]
Amen,anaendelea vizuri,maombi yanaendelea
 
Story ya kupika[emoji28]kuvutiw wateja wapyq wa mwamposa[emoji28][emoji28]hatudanganyiki, watoto wa kizanziber na kupenda elimu dunia wapi na wapi[emoji28]wao wanapenda ilmu akhera bana
Mungu anizibe mdomo nisikujibu coz sikujui na hauijui hii family ipoje hadi huko znz,

SIO KILA ANAYEISHI ZNZ BASI NI MPEMBA AU UNGUJA.
 
Na unaweza kuta kawekewa kimazingara na hao walomfanyia maombi. Usanii tu. Hamna mtu anoweza kutoa vitu hivyo mwilini
Ni kweli amemuwekea kimazingara, lakin hao waliomanyia maombi sidhani Kama wanahusika.

Mtoa mada amesema walizunguka sehem nyingi, kwa mashekhe nk. Hayo maombi yalifanyika kwa njia ya vipindi vya tv
 
Sawa,

Kama hayajakukuta ya kukuta pleas yiba Domo lako,na ukae chonjo,

Kaa kimya.
Yanikute ndiyo niende kwenye maombi badala ya kwenda hospital. Wewe ni muuaji tu Kwa kuendekeza ujinga wakati hizi ni dhama za teknolojia wewe upo kwenye vitu vya kufirika. Siku hizi Kuna mashine za kisasa za kugundua magonjwa mbalimbali. Acha kuishi kijima
 
Ni kweli amemuwekea kimazingara, lakin hao waliomanyia maombi sidhani Kama wanahusika.

Mtoa mada amesema walizunguka sehem nyingi, kwa mashekhe nk. Hayo maombi yalifanyika kwa njia ya vipindi vya tv
Yawezekana wameunganisha matukio tu...wakaona hapa ndio hapa hapa pa kufanya yetu tuonekane tumetoa msaada.

Wakati mwengine binaadam unapokumbwa na matatizo na hasa ya maradhi...unaweza kufanya vitu vya ajabu ilimradi upate tahfif.

Kuna mama mmoja alikuwa akisumbuliwa sana na miguu, of course ilikuwa ni kwa sababu ya umri mkubwa(may be)....na miguu ikiuma km tunavyojua unaweza kumaliza dawa za hospital na za kienyeji usipate nafuu...basi ndugu yake akamwambia sababu ya kuumwa kwake ni mambo ya 'uswahili" vizuri waelekee kwenye tiba za 'kiswahili' ndio kumletea mganga...ati mganga akamtoa viwembe (topaz) kwenye miguu na kumwambia hio ndio sababu ya miguu kuuma.....yule mama hakupata hata nafuu.....miguu iliendelea kumuuma km kawaida

We kweli unaamini mtu anaweza kuwa na topaz miguuni.. .. kweli!!!!!!!

Usaniii tu.

Baadhi ya wtt hasa wa kike kwenye teen ages zao huwa wanasumbuliwa na depression....na hii inaweza kupelekea mtt kuwa km anachagawa, km kupandisha mashetani na ht kuanguka ovyo.

Mie nahisi km hakupata matibabu sahih hospital
 
Mtoto wa miaka 13 depression anaitoa wapi?

Kwa mfano wako uliotoa kuhusu huyo mama na mguu wake, yawze6ukawa sahihi. Ila kwa scenario ya mleta mada, walifatilia mahubiri kwa njia ya television, hawakwenda popote. Hapo ndio naikataa dhana ya kufanyiwa faulo na hao waongoza maombi
 
Sasa ikiwa wahusika wqnakiri mtoto amepona kwanini tupinge?
Hana kupoa my dear... Mtoa mada anasema mtt bado anahisi anaumwa na tumbo chini ya kitovu... nafkiri this time watamtoa hilo kufuli.

Usanii tu. Hapo mara utaambiwa fulani ndio kafanya hivyo kumdhuru mtt ili kuleta fitna baina ya ndugu na jamaaa na kuwafarakanisha

Hayo mambo ya usanii yapo nduguzanguni....

Ila siwezi kumlazimisha mtu kuamini ninavyoamini mimi
 
Mtoto wa miaka 13 depression anaitoa wapi?

Kwa mfano wako uliotoa kuhusu huyo mama na mguu wake, yawze6ukawa sahihi. Ila kwa scenario ya mleta mada, walifatilia mahubiri kwa njia ya television, hawakwenda popote. Hapo ndio naikataa dhana ya kufanyiwa faulo na hao waongoza maombi
Maisha tunatofautiana ndugu.. mtt wa kwako wa age hio usije ukadhani yupo sawa na mtt wa miaka 13 anaeishi mazingira tofauti na ya kwako.. hujawahi sikia mtt wa miaka 12,13 anajiua...dunia ina mambo mengi, hatujayaona hata robo yake.

Mie nakwambia huo ni usanii tu. Hakuna mtu anaeweza kutoa kutoka tumboni hayo mazagazaga...

Na hayo mafuta kapakwa au kanywa!!!!!?
 
Yanikute ndiyo niende kwenye maombi badala ya kwenda hospital. Wewe ni muuaji tu Kwa kuendekeza ujinga wakati hizi ni dhama za teknolojia wewe upo kwenye vitu vya kufirika. Siku hizi Kuna mashine za kisasa za kugundua magonjwa mbalimbali. Acha kuishi kijima
Na wewe jifunze lugha vizuri. Sio dhama bali ni "zama" rejea neno "zamani"... ujuaji mwingi
 
Back
Top Bottom