Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Na wewe jifunze lugha vizuri. Sio dhama bali ni "zama" rejea neno "zamani"... ujuaji mwingi
Jikite kwenye mada na kama ni muelewa ungejiuliza hapa tunaandika kwenye karatasi au screen. Mpaka hapo ulipo hujui lolote zaidi ya utapeli wa maombi
 
Maisha tunatofautiana ndugu.. mtt wa kwako wa age hio usije ukadhani yupo sawa na mtt wa miaka 13 anaeishi mazingira tofauti na ya kwako.. hujawahi sikia mtt wa miaka 12,13 anajiua...dunia ina mambo mengi, hatujayaona hata robo yake.

Mie nakwambia huo ni usanii tu. Hakuna mtu anaeweza kutoa kutoka tumboni hayo mazagazaga...

Na hayo mafuta kapakwa au kanywa!!!!!?
Ahsante sana Kwa majibu Yako mazuri. Wanaleta utapeli tu na hata hawajui mfumo wa afya ya akili na mfumo wa tumbo ulivyo. Wao wanaleta mambo ya Giza wakifikiri wote ni mazuzu kama wao. Yaani hajui au hajawahi kuona watoto wa kike wa shule mbalimbali wanaanguka na kupiga kelele. Watasema wamechezewa wakati ni hysterical situation ambayo huja na kutoweka.
 
Mtoto wa miaka 13 depression anaitoa wapi?

Kwa mfano wako uliotoa kuhusu huyo mama na mguu wake, yawze6ukawa sahihi. Ila kwa scenario ya mleta mada, walifatilia mahubiri kwa njia ya television, hawakwenda popote. Hapo ndio naikataa dhana ya kufanyiwa faulo na hao waongoza maombi
Una kiwango gani Cha elimu
 
Yawezekana wameunganisha matukio tu...wakaona hapa ndio hapa hapa pa kufanya yetu tuonekane tumetoa msaada.

Wakati mwengine binaadam unapokumbwa na matatizo na hasa ya maradhi...unaweza kufanya vitu vya ajabu ilimradi upate tahfif.

Kuna mama mmoja alikuwa akisumbuliwa sana na miguu, of course ilikuwa ni kwa sababu ya umri mkubwa(may be)....na miguu ikiuma km tunavyojua unaweza kumaliza dawa za hospital na za kienyeji usipate nafuu...basi ndugu yake akamwambia sababu ya kuumwa kwake ni mambo ya 'uswahili" vizuri waelekee kwenye tiba za 'kiswahili' ndio kumletea mganga...ati mganga akamtoa viwembe (topaz) kwenye miguu na kumwambia hio ndio sababu ya miguu kuuma.....yule mama hakupata hata nafuu.....miguu iliendelea kumuuma km kawaida

We kweli unaamini mtu anaweza kuwa na topaz miguuni.. .. kweli!!!!!!!

Usaniii tu.

Baadhi ya wtt hasa wa kike kwenye teen ages zao huwa wanasumbuliwa na depression....na hii inaweza kupelekea mtt kuwa km anachagawa, km kupandisha mashetani na ht kuanguka ovyo.

Mie nahisi km hakupata matibabu sahih hospital
Asante sister kwa kujua huu usanii alofanyiwa ndugu yetu kwenye imani hlf akaamini

M nimemwambia kuna dokta mzuri yy kapuuza kaona bora aende huko kwa hao washirikina
 
Asante sister kwa kujua huu usanii alofanyiwa ndugu yetu kwenye imani hlf akaamini

M nimemwambia kuna dokta mzuri yy kapuuza kaona bora aende huko kwa hao washirikina
Cha kushangaza nowadays hata watu wenye elimu zao wanadanganyika.

Matatizo ya afya ya akili ndio kama haya
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Mjishike na Yesu Kristo siku zote yeye ndio boss wa Ulimwengu wote.
 
Mjishike na Yesu Kristo siku zote yeye ndio boss wa Ulimwengu wote.
Yesu anasaidia nini. Kabla ya yesu mababu zetu walishika nani. Utumwa wa kale mpaka Leo Bado upo kupitia dini za mapokeo Kwa watu wengi kupokea chochote bila kuchuja
 
Yesu anasaidia nini. Kabla ya yesu mababu zetu walishika nani. Utumwa wa kale mpaka Leo Bado upo kupitia dini za mapokeo Kwa watu wengi kupokea chochote bila kuchuja
Yesu atakusaidia mengi tu mfano kuna nguvu za giza liite Jina la Yesu utaona msaada. Ni mpaka uamini katika nguvu zake na kutenda kwa mamlaka ya Jina lake ndipo utaona nguvu za Yesu.
 
Assalaam,

Naona baadhi ya watu mnasema ni tangayo plus utapeli,

Niseme tu baadhi hamjui na hamjafikwa, ningesema nitag rafiki nilikuwa nashirikisha kuhusu hili tatizo la dogo na hawakuchoka kunitia moyo,niseme mengi,

Niseme tu dogo yupo ok,maana anaenda shule na anasema haumwi chochote na shule anaelewa Hadi anajishangaa,

Niwaambie tu majuzi katoa tandu wawili sitaki nielezee walitoka kwa njia ganj,maana alikuwa akikaa anahisi mwilini anatembelewa na wadudu lkn hawaoni,
 
Maisha tunatofautiana ndugu.. mtt wa kwako wa age hio usije ukadhani yupo sawa na mtt wa miaka 13 anaeishi mazingira tofauti na ya kwako.. hujawahi sikia mtt wa miaka 12,13 anajiua...dunia ina mambo mengi, hatujayaona hata robo yake.

Mie nakwambia huo ni usanii tu. Hakuna mtu anaeweza kutoa kutoka tumboni hayo mazagazaga...

Na hayo mafuta kapakwa au kanywa!!!!!?
Eti eeeh!!!!
 
Mtoto wa miaka 13 depression anaitoa wapi?

Kwa mfano wako uliotoa kuhusu huyo mama na mguu wake, yawze6ukawa sahihi. Ila kwa scenario ya mleta mada, walifatilia mahubiri kwa njia ya television, hawakwenda popote. Hapo ndio naikataa dhana ya kufanyiwa faulo na hao waongoza maombi
Watu wabishi coz hayajawakuta,,,,
 
Yesu atakusaidia mengi tu mfano kuna nguvu za giza liite Jina la Yesu utaona msaada. Ni mpaka uamini katika nguvu zake na kutenda kwa mamlaka ya Jina lake ndipo utaona nguvu za Yesu.
Kwani kabla ya yesu watu walikuwa hawapati msaada. Acheni Imani za mapokeo. Mmepokea mpaka kuzidi mipaka na waliokuletea wanabaki wanashangaa na kujiuliza. Hivi Hawa watu ni wazima mbona wamepitiliza kuliko sisi tuliowaletea.
 
Assalaam,

Naona baadhi ya watu mnasema ni tangayo plus utapeli,

Niseme tu baadhi hamjui na hamjafikwa, ningesema nitag rafiki nilikuwa nashirikisha kuhusu hili tatizo la dogo na hawakuchoka kunitia moyo,niseme mengi,

Niseme tu dogo yupo ok,maana anaenda shule na anasema haumwi chochote na shule anaelewa Hadi anajishangaa,

Niwaambie tu majuzi katoa tandu wawili sitaki nielezee walitoka kwa njia ganj,maana alikuwa akikaa anahisi mwilini anatembelewa na wadudu lkn hawaoni,
Ona huyu. Mwili wa binadamu unaweza kutoa tandu. Ataishi vipi mwilini na atatokea njia gani. Weka mazingira ya nyumba Yako safi Ili uondokane na Imani potofu
 
Back
Top Bottom