Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

mimi kuna siku alikua live hapo kawe nikawa naangalia tu kipi kinaendela akawa na maombi kuna rafiki yangu alinyanyua tu glass ya maji kule kweye tv waliambiwa wayanyanyue yale maji akanywa bas alilegea mnoo yan kama anaskia kichef chef tukabadili channel lakini hatukua na hio iman kwamba kipo kitu halaf tulikua tunafanya just for fun
😭😭😭 Daaah unajua huyo rafik yako hiyo siku alikua anafunguliwa majini na mairizi yote aliyofungwa kichawi, ni vile hamkuweza kuelewa ila ingetokea miujiza mikubwa sana mngeshangaa miujiza ya Mungu... Kama bado yupo huyo rafiki yako, siku moja mpeleke ktk mkutano wa Mwamposa chukueni yale maji au mafuta myatumie... Thank me later my dear
 
mimi kumpeleka huko ni mtihani alikuja kunisabahi tukajikuta tunaangalia inuka uangaze, tena ilikua jioni ikabidi asiondoke had alipokaa sawa halaf hatukua tunajua n hayo maj tukawa tunaambiana mbona imekua hivo ni nini au unaumwa,
 
Back
Top Bottom