Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Jamaa anajitahidi hapo ili kuua sooHongera hapo kwenye rangi.
Jamaa anajitahidi hapo ili kuua sooHongera hapo kwenye rangi.
Haaaa Bi Shostee Kapotea kabisa kwenye UZI,Yap ni Muhimu sana kupiga Commet Vipima Joto na Mifuko ya Suruali ya Wenza endapo akienda kuoga kwanza kabla ya Kuanza MECHI.Sikuhizi mbaazi si bidhaa adimu tena, ziko kwenye make up bags.
Jamaa anajitahidi hapo ili kuua soo
HahahaUtamu wake bila shaka si wa kawaida labda ndiyo sababu akaamua atutonye.
Hahaha
Huko unakoelekea ni uchochezi sasa
Sometimes I trust dildos more than anything.
Mkuu nimecheka sana, huyo dada anashangaa jamaa anasugua mpaka anachubuka kumbe jamaa ana pitisha vimelea.Anazidisha speed ya kukula,hahaahaah
Ajui jamaa anamfanya sampo,,Dada anafurahia jamaa anavyopambana tu,hahahahahaaaMkuu nimecheka sana, huyo dada anashangaa jamaa anasugua mpaka anachubuka kumbe jamaa ana pitisha vimelea.
Rudi kabisaaTobaaaa lol! Hahahahaha siendi tena huko 🙂
Mkuu bila chenga ni ARV lakini kaa na mhusika myaongee, huenda na yeye aliviokota njiani kama ulivyofanya wewe hapa.
Sijui kwanini nahisi hii story ni ya kutunga maana mtoa mada hajambo kwa kuanzisha story tata
Mkuu, is just a matter of time before you see your own prescriptions on JF, whether they are for diabetes or arrhythmia. It's scarring.Sky don't baby sit her. hahaha. The truth will either set you free, or loose you some friends.
The case which was presented here two weeks ago was genuine, and now we are getting all these cat and paste stories.Ringson. Ukipata mada ambayo ni burning, halafu baada ya masaa mwenyeji harudi, basi ujue hiyo ni gahawa bila kashata.
lazima ujue kutofautisha rangi za dawa na reality ya drug hiyo...ona hapa chininipo kwenye wakati mgumu kweli kweli baada ya kukuta hivi vidonge vimefichwa nimemuuliza akaniambia huwa ni viagra na alipewa na rafiki yake nashangaa siku za karibuni kabadilika na kunifanya sana bado sijaelewa kwa nn atumie haya mavidonge nimfanyeje huyu jamani? View attachment 495712
mnapaswa kumpa pole coz hakujua...na jambo usilolijua ni kama usiku wa giza..hata wew unaweza ukaja kufa kwa uaminifu..unajua kufa kwa uaminifu braza..??Ajui jamaa anamfanya sampo,,Dada anafurahia jamaa anavyopambana tu,hahahahahaaa