Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,788
- 168,144
Jamaa yako ana ngoma /HIVNdiyo vidonge vya nini
Na hizo ndio dawa anatumia kupunguza makali ya ukimwi, nenda nawe ukapime pole.....
Nahisi we ni mdogo sana hata 20 sijui kama umefikisha, pole sana