Hivi vidonge kweli ni viagra?

Hivi vidonge kweli ni viagra?

TFDA - Niruhusini nifanye repackaging ya ARV. Nitakuwa nazitoa kwenye Tins na kuziweka kwenye blisters. Nitakuwa na brand names kama kumi za colors tofauti. Hygiene itakuwa imezingatiwa. Naomba mniruhusu nisiweke ingredients.

Naona hizi kesi za kuchunguzana mabegi zimezidi.

Lakini pia mnaochunguza mabegi na kukuta hizo dawa, mpo safe. Kama anatumia dawa kwa muda ule ule kila siku kwa maana ya adherence, basi hesabu upo safe. Unless kama una matatizo mengine yanayoweza kuchochea maambukizi.
 
Sikuhizi unaweza kuacha ATM card juu ya coffee table mtu hashughuliki nayo anawinda hand bag.
 
Hivi vidonge vilileta mjadala mrefu sana hapa wiki mbili zilizopita, umevipata wapi? Huko ulikovitoa hakuna karatasi la ushauri? Mpaka umeviweka hapa inamaana si vyakwako, muulize mwenyewe ni vya nini.
Dah nakumbuka ule mjadala kule jukwaa la afya, watu walikesha kusubiri update hahaha. Aisee kumbe huu ugonjwa upo kwa wingi hivi, watu tunaungua tu. Na siku hizi hamna kukonda watu wana nawiri tu.
 
Viagra ina rangi mama kama coca, ambayo haiigwi wala haibadiliki ni light blue.
Ukiona wekundu, white sijui pink, halafu muundo wa cipro, ujue kumekucha.
Halafu amepima ukagundulika anao, mwendo wa kimyakimya hadi anajiunga clinic za ctc, bado kimyakimya!
Kumueleza mwandani wake yalomsibu hakuna na bado anamla kavukavu!
Anamapenzi ya dhati kwake au anataka kumuua mwenziye?
Tena ameongeza na spidi za kumla! Hapana, si bure ana lake jambo.
 
Sometimes I trust dildos more than anything.
 
Hivi vidonge vilileta mjadala mrefu sana hapa wiki mbili zilizopita, umevipata wapi? Huko ulikovitoa hakuna karatasi la ushauri? Mpaka umeviweka hapa inamaana si vyakwako, muulize mwenyewe ni vya nini.
ohooooo kimenuka
 
Back
Top Bottom