bi shostee
Member
- Jan 6, 2017
- 36
- 69
nipo kwenye wakati mgumu kweli kweli baada ya kukuta hivi vidonge vimefichwa nimemuuliza akaniambia huwa ni viagra na alipewa na rafiki yake nashangaa siku za karibuni kabadilika na kunifanya sana bado sijaelewa kwa nn atumie haya mavidonge nimfanyeje huyu jamani?