Hivi vidonge kweli ni viagra?

Hivi vidonge kweli ni viagra?

Wewe mtoa mada mi hata sijawahi kukuelewa….
Kuna uzi ulileta unaomba ushauri sijui mmeo kafanya nini

Uzi mwingine ukaleta kwamba upo hostel na BF wako anakuzingua

Uzi mwingine ukaleta kwamba mpenzi wako anataka penzi la ajabu

Leo tena umekuja na hivi vidonge

Ni kwamba unapoteza kumbukumbu haraka sana au unataka kiki za JF?
 
Hivi vidonge vilileta mjadala mrefu sana hapa wiki mbili zilizopita, umevipata wapi? Huko ulikovitoa hakuna karatasi la ushauri? Mpaka umeviweka hapa inamaana si vyakwako, muulize mwenyewe ni vya nini.
Karudisha mjadala uliopita
 
Mhusika yuko Salama zaidi Kuliko Sisi ambao hatukutwi na hivyo vidonge.
Niliwahi muhudumia jamaa mmoja yuko kwa arv zaidi ya miaka 10.
Kaoa binti mmoja matata Sana miaka Kama 5iliyopita na Wana watoto 2.
Siku zilivyosogea jamaa akawe ana drug failure Ndio akalazwa.
Dada hajui mumewe anaumwa nini na hajawahi kumuona akinywa Dawa.
Jamaa ikabidi aanze kumuomba msamaha mkewe Ila hasemi Kwa nini.
Mkewe Kaja kuniuliza ikabidi kuanza counseling na kupima Dada yuko Safi.!!
Alimhudumia jamaa mpaka anaaga dunia na yeye kashapima Mara tatu na yuko salama
 
bi shostee ajitoe tu akili akapime.
Kama kashaathirika aanze Dawa mapema na kuanza kupanga mipango ya Maisha nahuyo jamaa
 
Naona huu uzi na hivi vidonge vinakuwa ni kama story inayojirudia ....
 
Wewe mtoa mada mi hata sijawahi kukuelewa….
Kuna uzi ulileta unaomba ushauri sijui mmeo kafanya nini

Uzi mwingine ukaleta kwamba upo hostel na BF wako anakuzingua

Uzi mwingine ukaleta kwamba mpenzi wako anataka penzi la ajabu

Leo tena umekuja na hivi vidonge

Ni kwamba unapoteza kumbukumbu haraka sana au unataka kiki za JF?
Huyu atakuwa ni mzushi au mtunga story wa shigongo
 
Back
Top Bottom