Hivi vidonge kweli ni viagra?

Hivi vidonge kweli ni viagra?

123 pill,, Atripila efavirenz 600mg is used in treatment of hiv infection and belongs to the drug class antviral combination...kwa hisani ya google.
 
Huyu mleta mada kapotea..isije ikawa kaenda kunywa sumu
 
Screenshot_2017-04-15-22-37-13.png
 
TFDA - Niruhusini nifanye repackaging ya ARV. Nitakuwa nazitoa kwenye Tins na kuziweka kwenye blisters. Nitakuwa na brand names kama kumi za colors tofauti. Hygiene itakuwa imezingatiwa. Naomba mniruhusu nisiweke ingredients.

Naona hizi kesi za kuchunguzana mabegi zimezidi.

Lakini pia mnaochunguza mabegi na kukuta hizo dawa, mpo safe. Kama anatumia dawa kwa muda ule ule kila siku kwa maana ya adherence, basi hesabu upo safe. Unless kama una matatizo mengine yanayoweza kuchochea maambukizi.
Ufanye packaging ya dawa alizotengeneza nan?? Ww mwenyew au unapack product ya manufacture mwingne?? lkn ni wazo zuri
 
Mm ndo kwanza na viona na nyie mnaovijua kirahisi hvy nina mashaka na nyie mtakuwa wadau tayari
 
Acha kupanic njoo kwangu mimi huwa situmii hayo makitu![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mm ndo kwanza na viona na nyie mnaovijua kirahisi hvy nina mashaka na nyie mtakuwa wadau tayari
Mkuu umesahau kuna madokta humu? tena ukute ndio wako kwenye hivo vitengo kabisa.
 
Back
Top Bottom