Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Kimya kingi ati, ewe tume tukufu tuhabarishe au mwenye kulijua atujuze..
 
kuna kamsemo ketu kwamba mambo mazuri hayataki haraka. tusubiri labda 2020 litapatikana jamani.
 
Vazi la Taifa ni Bukta pajama au Kaboka ile kaptura ya taulo taulo
 
vazi liko kwa fundi nyuzi zimeagizwa toka nje hazijafika. nenda serikali ya mtaa ukapime kama bado. hii ndo tanzania ya kikwete bana:israel:
 
Naombeni kuuliza huu mchakato umeishia wapi??

Hivi wanaijeria walikuwa na mchakato kama wetu?

Nawasilisha.
 
Kanzu na barghashia kwa wanaume na wanawake nguo refu mpaka chini na kichwani mtandio.
 
Ntaweka hahaha @Eiya

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Mi walipoanza kutafuta na mshono nikajua kuna tatizo. Yule rasta akadai likiwa na kola hata vaa?! Mara wanapita mikoani kutafuta maoni! hakya mungu hii nchi?! Tema mate chini bandugu
 
Jamani wakuu hebu naombeni msaada katika hili, huenda dunia ya teknolojia ya habari imenipita.

Ni mwaka uliopita kama sikosei mwanzoni habari iliyokuwa motomoto ilikuwa ni kutaka kupata vazi la taifa.Siku zikapita mpaka wiki na hatimae miezi kibao.Msaada jamani ishu imefikia wapi? Ama limeshapatikana?
 
Ni Mchakato Ulioanza Kwa Mbwembwe Hasa Ukikolezwa Na Kituo Kimoja Cha Radio, Ila Mpaka Sasa Sielewi Uliishia Wapi? Tujuzane
 
Na ndio maana Tundu lisu aliwashtukia akajitoa mapemaaa
 
Mkuu mtafute Haki/sheria Ngowi nafkri atakueleza siri ya Mchakto,maana jamaa walienda kuonana na kumwonyesha ma wax,na mabatiki Mkulu wa nchi.
 
Back
Top Bottom