DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,259
- 4,690
Ndugu wana JF,
Nimeona niwaulize swali hili labda mnaweza kunisaidia kujua!
kama sijakosea, mwaka jana kulikuwa na mradi uliotambulishwa kwetu wenye lengo la kukusanya maoni na design mbalimbali ya vazi la taifa! Kwangu mm sikuona maana yake kwa mantiki ya vvipaumbele hivyo kwangu mimi niliuona huu mradi kama justification ya matumizi ya hela bila mpangilio ukizingatia umasikini uliopo miongoni mwa wananchi na sasa hivi nchi ilivyo na deni kubwa. Zile fedha zingetumika kwenye miradi ya kupunguza umaskini miongoni mwa Watanzania.
Swali langu pia mnisaidie kujua kama limekamilika au ndo ishu ya "katiba mpya" imeifunika?
Tujadili!