Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Ni jambo lisilo na tija kwa kweli ni bora liliishia hewani
 
Wapwani ndio kioo cha tamaduni cha nchi hii, sasa sisi mavazi yetu ya kitaifa tunayo na tunaendelea nayo mpk kesho, sisi twavaa msuli na baraghashia nyie mtakubali kuvaaa?
 
Back
Top Bottom