mkuu watu washakula pesa na wamesahau wewe unazungumza vazi la taifa. kila mtu avae nguo yake. hii nchi vitu vinaibuka pesa inatengwa na kutokomea kusikojulikana na raia wamenyamaza tu kama msukule.
mkuu watu washakula pesa na wamesahau wewe unazungumza vazi la taifa. kila mtu avae nguo yake. hii nchi vitu vinaibuka pesa inatengwa na kutokomea kusikojulikana na raia wamenyamaza tu kama msukule.
Kuna ulaji wa tume iliundwaga na Nchimbi, kuzunguka nchi nzima na kufanya ziara huko duniani kujifunza na kuja na azimio.
Nadhani washakula hela na hukuna jipya.
Kwani vazi la taifa hua linatokana na jamii au kubuniwa na serikali! Na kama mkibuni watu wasipopenda kuvaa mtawalazimisha? Hiyo project ilikua ni mpango wa nchimbi kuwapa ulaji washikaji wake. Tangu lini vazi la taifa likabuniwa kama sio upuuzi tu. Naona dr. mkangara ameona aachane na huo upuuzi.
watu washapiga ela wakiongozwa na nchimbi na kusaga,kila mtu avae nguo anayojisikia iwe kimini,top,chupi,kimasai etc
ilo lilikuwa dili la kupiga ela,billion kazaa zilitolewa
Issue ni kwamba ufisadi ndio ulitawala baada ya nchimbi Kutoa pande kwa kusaga kwenye vikao vya binge lilipingwa sana na tatizo ni mh SUGU alikuwa kwa kamati so likaonekana halina tija kwa taifa. Chezea vinega
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.