Waziri mhusika (Emanuel Nchimbi) alipigwa chini na mchakato ukaishia hapohapo
Ni Mchakato Ulioanza Kwa Mbwembwe Hasa Ukikolezwa Na Kituo Kimoja Cha Radio, Ila Mpaka Sasa Sielewi Uliishia Wapi? Tujuzane
vazi la taifa la kazi gani? hauridhiki na unavyovaa?
Msaada jamani ishu imefikia wapi? Ama limeshapatikana?
Mchakato umeshakamilika wanaume: kanzu na vibaragashia. Wanawake: Baibui sema watu hawavai sababu ya Joto
Vazi la taifa la nini wakati hata muziki wa Taifa hakuna,
Mwimbo wa taifa upo.
Vazi la taifa la nini wakati hata muziki wa Taifa hakuna...
Ule ni wimbo wa Tanzania au wa South Africa.