Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Hivi vazi la taifa limekwenda wapi?

Wakati Fulani kulikuwa na kamati ya Vazi la Taifa na kama nakumbuka vizuri walikabidhi kama Ripoti kwa Mhe. Waziri Dr. Nchimbi (wakati huo). Je zile juhudi zimeishia wapi? mbona kimya jamani?
 
Muulize yule mtembea peku, na tumbo lishamvimba siku hizi kwa kuvimbewa, mithili ya kiriba tumbo!
 
Nchi hii hakuna dira kila waziri anakuja na lake,akitoka uwaziri na mjadara unafungwa
 
Ndugu kwani upo nchi gani kama Tz najua unajua mbwembwe za viongozi wetu
 
Chochote kikiwa chini ya CLOUDS Media, huwezi kupata output/outcome positive...Mark my words...
 
Back
Top Bottom