Stuck in the past. Tatizo la ngozi nyeusi sisi mimi na wewe ingawa mimi hapo nimepitaWewe bwana! Kuna vitu ndio uhalisia, ndio ukike wenyewe huo
haihusiani na past wala future! Masuala ya kujifanya mnabadilika sijui utandawazi ndio maana mmebadili hadi naniliii….. Kuna vitu si vyakubadilika na usishangilie kuona vinabadilika, although change is inevitable.