The Best Of All Time
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,281
- 7,730
Wote wanahusika kutafuta mtoto au mtoto anapatikana mwanamke akiwa peke yake?Kwamba hata mwanaume anazaa sio?
Wote wanahusika kutafuta mtoto au mtoto anapatikana mwanamke akiwa peke yake?Kwamba hata mwanaume anazaa sio?
Mwanaume anatafuta vp mtoto?Wote wanahusika kutafuta mtoto au mtoto anapatikana mwanamke akiwa peke yake?
Nimekuelewa.Mwanaume anatafuta vp mtoto?
Wakati lile tendo ni haki yako kulifanya?
Na hata mwanamke ni haki yake kuzaa na sio wewe mwanaume..
Kazi ya mke sio kupika bali ni kuchezea miti kutoka kwa mumewe.