Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Ukiachilia mbali sijui kuzipika...hata muda wa kizipika haupo,tena mara mbili kwa week!

Kama utazitaka sana tutaagiza,si zipo watu wanapika kuuza?
unaona sasa.., wewe utanisukumia kila kitu kwa anti( msaidizi wa kazi)kwa nini hamtaki kujitahidi? ujue Bibi Khadija alijitahidi kwa mtume na malaika jibril aliyasuhudia hayo jinsi alivyokua anamwandalia chakula na kumletea.
 
Hata awe anajua kupika, kauli mbiu ni ile ile kataa utapeli , kataa ndoa !

7oreq4.jpg
 
unaona sasa.., wewe utanisukumia kila kitu kwa anti( msaidizi wa kazi)kwa nini hamtaki kujitahidi? ujue Bibi Khadija alijitahidi kwa mtume na malaika jibril aliyasuhudia hayo jinsi alivyokua anamwandalia chakula na kumletea.
Kwa chapati nilishanyoosha mikono,nimejitahidi kujifunza ila final product badala ya kuwa chapati inakuwa kaukau 😀
 
JAMANI MKIMALIZA MWALIMU WA KUMFUNDISHA NIPO HAPA.[emoji4][emoji4][emoji4]MAPISHI ANAYOTAKA YE KUJUA ATAORODHESHA
KAMA ANATAKA
pilau,wali,tambi,ndizi makande,nyama,maini,dagaa,samaki,chapati,mkate,maandazi,scones,kuku,mishkaki na mengine namfundisha.
Mapishi ya nazi yotee..yaani nazi inaingia katika almost vyakula vyote.


Namfundisha live kwa vitendo.malinghafi ni zake
Imagine kwenye hii list kitu ambacho sijui kupika ni Scones, maandazi na mkate tu, alafu atokee binti wa watu aniambie hajui kupika!!!??, nitaishia kula nae kwa Shishi food na Kfc ila ndoa ni BIG NO.
 
Back
Top Bottom