Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Still stuck in the past!!!! Those men thinking that a woman is a sex object, a servant of man and the like! Hapo ndipo unapoona kuwa waafrika bado sana! Still we ned mind liberation! Nasty! still stuck in the wrotten past1
Wewe bwana! Kuna vitu ndio uhalisia, ndio ukike wenyewe huo

haihusiani na past wala future! Masuala ya kujifanya mnabadilika sijui utandawazi ndio maana mmebadili hadi naniliii….. Kuna vitu si vyakubadilika na usishangilie kuona vinabadilika, although change is inevitable.
 
JAMANI MKIMALIZA MWALIMU WA KUMFUNDISHA NIPO HAPA.[emoji4][emoji4][emoji4]MAPISHI ANAYOTAKA YE KUJUA ATAORODHESHA
KAMA ANATAKA
pilau,wali,tambi,ndizi makande,nyama,maini,dagaa,samaki,chapati,mkate,maandazi,scones,kuku,mishkaki na mengine namfundisha.
Mapishi ya nazi yotee..yaani nazi inaingia katika almost vyakula vyote.


Namfundisha live kwa vitendo.malinghafi ni zake
 
Salam,

Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?

ajifunze na afahamu vizur kupika kwanza, vinginevyo ndoa hiyo haitadumu.
Lakini ikiwa umeoa akiwa na pungufu hilo then akakubali kujifunza na akaelewa kupika vema, hiyo ndoa inaweza kudumu sana na kua ya furaha sana, coz huyo mawanmke atakua yuko radhi kujifunza, anafundishika na anaelekezeka
 
JAMANI MKIMALIZA MWALIMU WA KUMFUNDISHA NIPO HAPA.[emoji4][emoji4][emoji4]MAPISHI ANAYOTAKA YE KUJUA ATAORODHESHA
KAMA ANATAKA
pilau,wali,tambi,ndizi makande,nyama,maini,dagaa,samaki,chapati,mkate,maandazi,scones,kuku,mishkaki na mengine namfundisha.
Mapishi ya nazi yotee..yaani nazi inaingia katika almost vyakula vyote.


Namfundisha live kwa vitendo.malinghafi ni zake
wa mikoani tunapataje huduma 😊🤗
 
Back
Top Bottom