That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,228
- 3,715
Shake well before use.
kama haujui kupika niambie tafadhali...Oohoo sasa hayo si ndiyo mapungufu ya kuvumiliana na kufundishana jamani, mazuri yote usimuoe sababu ya kupika duh😁
Kama ni muimbaji mzuri wa akapela, hang'ati maiki, inatosha! mengine tutakutana katiSalam,
Mwanamke amekamilika kila idara, Kitandani yupo safi tu ila hajui kupika. Je, wanaume unaweza ukaoa mwanamke wa aina hiyo?
Kwamba mwanafunzi ndo hatakiwi jifunza kupika?Mambo mengi,,,huenda alikua shule
Navyojua nyumbani ndo sehemu ambayo mtu anaweza akajifunza kupika..labda nitoe mfano mimi mda mwingi nlikua shule na hata nikirudi likizo tution na nini kwahiyo ule mda wa kujifunza nlikua sina..kwahiyo kwa situation kama hiyo mtu anaweza jikuta mda wa kuolewa umefika hajui kupika baadhi ya vyakula...ila mimi najua kupika😃😃😃Kwamba mwanafunzi ndo hatakiwi jifunza kupika?
Hahaha najuaa , ila vitu vya ngano ndiyo shughuli na jasho, chapati inasimama nikikurushia lazima ukatibiwe😀😀😀kama haujui kupika niambie tafadhali...
kuna stage kabla ya kufikia kuoana, so hapo ndipo tunaweza fundishana mambo yooote....Shake What?
Ingia youtube kacheki tutorials kisha uwe unafanya practice, utakuwa ......Hahaha najuaa , ila vitu vya ngano ndiyo shughuli na jasho, chapati inasimama nikikurushia lazima ukatibiwe😀😀😀
Ndiyo naendelea kujifunza na naona improvements soon ntatoa kitu zaidi ya Shishi food 😀😀Ingia youtube kacheki tutorials kisha uwe unafanya practice, utakuwa ......
Kuchwa--KichwaLask week nilikula kwa mama ntilie mmoja nikakuta Uzi kwenye mchuzi wa nyama.Ukiona mwanamke anapika hajafunga kuchwa na kitambaa huyo ni mchafu.
Siku ingine nakula skonzi nikaona nywele.Wengine wachafu mno.Aheri ule zivu la mkeo kuliko la mama ntilie
Labda kama hauoshi hiyo nyama ila ikipasuka na ukaosha nyama vizuri Haiw chungu hataKikwetu wababa wanachinja kuku na kunyonyoa japo naweza kunyonyoa na baada ya hapo wanakata miguu ya chini wanaleta . Sasa kupasua ni wamama wanapasua ..... nakutoa nyongo nakutupa au kuku atakuwa mchungu ikipasuka halafu ndio unapika
Sheria ya chapat ni moja tu kipenz ukikanda ngano usikimbilie kupika iache hata masaa 3 utaona mabadiliko na kaukau somtym unasukuma sana katikati😀Kwa chapati nilishanyoosha mikono,nimejitahidi kujifunza ila final product badala ya kuwa chapati inakuwa kaukau 😀