Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Kila ndoa ina changamoto zake mdogo wangu. Kuna mwingine atakuja kuanzisha uzi wa kuwa mwenza wake ni mchoyo ama mvivu.

Ndoa ina mambo mengi sana. Utakuta huyo hajui kupika lakini ni mkarimu kwa ndugu zako na wageni. Kila mwenye baya ana jema lake pia. Just take it with ease bro.
 
Walisemaje wadau Dada?
Uzi wangu wa 2017



Ningeweza kuzifikia PM za 2017 ingekuwa vizuri mana wadau waliguswa 😂😂
 
Back
Top Bottom