Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

Si umfundishe jamani....mbona unacomplicate maisha[emoji18]
Aisehhh£#^&*.

Yaani nije nikufundishe kupika ukiwa kwangu? Mama yako, Shangazi uliokaa nao muda wote hawajakufunza ndio huo msala uniletee mimi??

Nononooo big no, mabinti wa ukweli na wanaojua kupika wapo wengi wewe rudi kwenu ukafunzwe.
 
Sheria ya chapat ni moja tu kipenz ukikanda ngano usikimbilie kupika iache hata masaa 3 utaona mabadiliko na kaukau somtym unasukuma sana katikati😀
Mmh!hii ya masaa matatu sijawahi kuijaribu
Siku nikipika nitajaribu nione utofauti
 
Aisehhh£#^&*.

Yaani nije nikufundishe kupika ukiwa kwangu? Mama yako, Shangazi uliokaa nao muda wote hawajakufunza ndio huo msala uniletee mimi??

Nononooo big no, mabinti wa ukweli na wanaojua kupika wapo wengi wewe rudi kwenu ukafunzwe.
Jamani 😃😃😃😃🤣🤣🤣🙌
 
Kusema ukweli nimejua kupika baada ya kumaliza skuli yaani chuo

Tena Alienisaidia ni bebi wangu maaana nilimwambia sijui kupika so akawa ana nielekeze kila siku napika kitu kipya kupitia msaada wa YouTube nashukuru Mungu mpk navoongea hapa naweza kupika chapati laini kiasi kwamba ikaliwa kesho bila kuwa kaukau

So kama anafundishika jaribu kumpa hizo tips za upishii kama unampenda utamsaidiaa
 
Back
Top Bottom