Hivi unaweza ukaoa mwanamke hajui kupika?

JAMANI MKIMALIZA MWALIMU WA KUMFUNDISHA NIPO HAPA.[emoji4][emoji4][emoji4]MAPISHI ANAYOTAKA YE KUJUA ATAORODHESHA
KAMA ANATAKA
pilau,wali,tambi,ndizi makande,nyama,maini,dagaa,samaki,chapati,mkate,maandazi,scones,kuku,mishkaki na mengine namfundisha.
Mapishi ya nazi yotee..yaani nazi inaingia katika almost vyakula vyote.

Namfundisha live kwa vitendo.malinghafi ni zake
Sawa
 
Kupika hata yeye mwanaume atapika, kwan tukijifungia nani atamuona?? [emoji12]
Wachaa acha kuwadanganya watu wewe mudada lazima ujue kupika roast la kuku , na wali mwanaume akishiba shoo inakuwa ya wastani asiposhida sasa akanywa maji anapiga shoo mpaka anakufa mwenyewe kama hujui akila akashiba kale kausingizi kanamjia so anakuwa mvivu mvivu so kupika kuna raha yake
 
JAMANI MKIMALIZA MWALIMU WA KUMFUNDISHA NIPO HAPA.[emoji4][emoji4][emoji4]MAPISHI ANAYOTAKA YE KUJUA ATAORODHESHA
KAMA ANATAKA
pilau,wali,tambi,ndizi makande,nyama,maini,dagaa,samaki,chapati,mkate,maandazi,scones,kuku,mishkaki na mengine namfundisha.
Mapishi ya nazi yotee..yaani nazi inaingia katika almost vyakula vyote.

Namfundisha live kwa vitendo.malinghafi ni zake
Kikiva anapeleka kwake au mnakula
 
Back
Top Bottom