Kikikupata hicho kismati, utatoa ushirikiano au utachomoaNa kuna raia ni sijui wanaoga na maji gani, sio ma jb ni wako kawaida ila hawatongozi wao ndio wanatongozwa au ndio ile demu anajileta mara jamaa kapiga tena ni effortlessly kabisa.
My twin ako na iyo kismat
Kumbe bado unatongozaga tu!!Mzee kuna vitoto bado vinanata aseeh....
Haujambo sisKumbe bado unatongozaga tu!!
Mdogo wangu mwaka huu analo!! Atahangaika aimalize dunia, naona now kahamia tanga. Tusubiri kesho.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Cc:espy
Husna muba
Kasie
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Marahabaaa!Haujambo sis
Hivyo hivyo tutafika.Marahabaaa!
Nawe una familia!! Makubwa!Hivyo hivyo tutafika.
Naamini wewe mzima. Sisi huku hatujambo familia yangu inakusalimia.
Inanisononesha saana dada yangu kunichukia hivi... a heri ningezaliwa somaliaNawe una familia!! Makubwa!
Sasa hapo mdogo wangu nimekuchukiaje jamani!! Hivi ninavyokupenda hivi bado tu unalalamika!!Inanisononesha saana dada yangu kunichukia hivi... a heri ningezaliwa somalia
Na nitakuwa sikushirikishi mipango yangu sasa aheri nitafute dada wa hiariSasa hapo mdogo wangu nimekuchukiaje jamani!! Hivi ninavyokupenda hivi bado tu unalalamika!!
Wakuu nauliza umeshawahi kutoswa wewe Mwanaume au Mwanamke?
Sio kukataliwa ile ya kistaarabu kwamba umechelewa au sitaki mahusiano.
Kukataliwa kwa matusi, maneno machafu mpaka ukifika kwako unavua nguo zote unajiangalia kwenye kioo ni wapi pana shida?
Kuna watu wana maneno machafu sana huku duniani kama hujawahi kutoswa kwa dhihaka, dharau na kunyanyaswa tafuta wa kukupa hii dawa utapiga hatua kubwa ya kutatazama mahusiano kwa namna ya pekee sana.
Atahangaika sanaaa. ....si anajifanya kichwa majiiMdogo wangu mwaka huu analo!! Atahangaika aimalize dunia, naona now kahamia tanga. Tusubiri kesho.
Weee thubutu!! Mipango ya pesa usijeacha kunishirikisha tafadhali.Na nitakuwa sikushirikishi mipango yangu sasa aheri nitafute dada wa hiari
Mdogo wangu mwaka huu analo!! Atahangaika aimalize dunia, naona now kahamia tanga. Tusubiri kesho.
