Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Mzee kuna vitoto bado vinanata aseeh....Labda dunia ya zaman siku hiz watu wanapeana appointment ya kwenye mgegedo
Mzee kuna vitoto bado vinanata aseeh....Labda dunia ya zaman siku hiz watu wanapeana appointment ya kwenye mgegedo
Raimundo..sisi wanaume tuna
changamoto sana...
ila hiyo ya "tafuta pesa"
uliamua kua possitive
sana ili usirudi nyuma..
Ukiwa na pesa unavaa vizuri, unashika simu kali, umepaki gari zuri, unanukia vizuri.
Unapoomba namba ya simu kwa mdada ambaye umemkubali ni straight unaipata, tena wakati unaiomba unakuwa umeshatoa simu unataka kuandika, akiona ni flagship smartphone (latest) anataja haraka sana.
Halafu unatumia kumshitukiza, siyo unaanza kuongea ongea, unajifanya una haraka hivyo unataka umtafute siku nyingine.
Exactly... ila tunasema ninjas never die. Huenda baadae akaja kulainika vizuri tuHalafu kila Mwanaume
mtafutaji tunapitia
majibu mbovu sana
Ila nini yanatujenga sana
Ukinata huon hata salaam yangu nakusoma tokea siku ya kwanzaMzee kuna vitoto bado vinanata aseeh....
Hatusalimiani... sijui una mvi siku hiziPole....
Na mimi kweli nikishaona ke ananata huwa najiongeza haraka. Mambo ya kuongezeana historia chafu aseeh hapana.Ukinata huon hata salaam yangu nakusoma tokea siku ya kwanza
Wivu bby. We sukari ya kila mtu.Hatusalimiani... sijui una mvi siku hizi
sasa kuna wale wa
"One in a million"
anaweza kukujibu
bila kujali hayo yote
ushakutana na zile
unasalimia tu unaulizwa
"Hey do i know you?"
Wengine majirani mama....Wivu bby. We sukari ya kila mtu.
Mkuu, si huwa wanasema HISTORY REPEATS ITSELF.Bro, aseeh usiombwe kuchambwa halafu ukute mtoto ni mkali kakuzidi viwango. Miezi sita unaweza usitongoze kuogopa historia kujirudia
Nzuri hio, nitaitumia soonUkiwa na pesa unavaa vizuri, unashika simu kali, umepaki gari zuri, unanukia vizuri.
Unapoomba namba ya simu kwa mdada ambaye umemkubali ni straight unaipata, tena wakati unaiomba unakuwa umeshatoa simu unataka kuandika, akiona ni flagship smartphone (latest) anataja haraka sana.
Halafu unatumia kumshitukiza, siyo unaanza kuongea ongea, unajifanya una haraka hivyo unataka umtafute siku nyingine.
Now days salamu no longer tatizo. Ishu #90's zile za dada itika
salamu haitii mimba..,