Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,769
Kuku wangu sina shida ya manati.Ohoooooo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuku wangu sina shida ya manati.Ohoooooo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unawaita wanawake wenzio me mfanye nini uzi wa wanaume huu... jileteni mtongozwee
. Hivi kwanini lakini umewaza hivi??Huyu mtoto msumbufu saana. Na dawa yake ipo jikoni inatokota![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
. Hivi kwanini lakini umewaza hivi??
Nini wew achakunizugaa huyo mnae peana maneno ya chumbani nimwanamme???Unawaita wanawake wenzio me mfanye nini uzi wa wanaume huu... jileteni mtongozwee

Kuku ni wewe ngoja wenye Mali zao wanakuja tulia hivyo hivyo km unanyolewa nikawaiteeeKuku wangu sina shida ya manati.

Usifike uendako angukia njianiKuku ni wewe ngoja wenye Mali zao wanakuja tulia hivyo hivyo km unanyolewa nikawaiteee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nini wew achakunizugaa huyo mnae peana maneno ya chumbani nimwanamme???![]()
Usimfanyie hivyo lakini.Huyu mtoto msumbufu saana. Na dawa yake ipo jikoni inatokota
Kwelii kabisa kipnzihaina haja ya kumjibu mtu kwa matusi au dharau sbbu haumtaki
unamjibu tu kiustaarabu kuna leo na kesho hujui nani atakusaidia badae
Huyu mtoto msumbufu saana. Na dawa yake ipo jikoni inatokota
chakunifanya huna babuu ndugu ndugu tu......hata awe bashiteTeh teh teh........mbn umeishiwa poziii.......Kumbe Daby mali yetu. Sie kwetu hatukatazwi kushare ila hakikisha unakua the biggest share holder. Wanaume kwanza wachache mwache bby awasaudie wengine.
ngoja nikae kmy maana huyu babu yng huyu namjua hakawii kunipa laana.....Niambie Hiyo Style mkuu niitumieMimi style yangu yangu ya kutongoza siwezi kutoswa kwa aina yoyote. Ni kama unamuongoza kuku kwenye banda lake.....anaweza kufika karibu na banda asiingie mlangoni akakimbilia jalalani kupekua sasa hapo unaweza kumfuata umuongoze tena aingie bandani au umuache alale nje aliwe ns mapakashume.
Ukitumia style hii hayakukuti hayo.
Wakuu nauliza umeshawahi kutoswa wewe Mwanaume au Mwanamke?
Sio kukataliwa ile ya kistaarabu kwamba umechelewa au sitaki mahusiano.
Kukataliwa kwa matusi, maneno machafu mpaka ukifika kwako unavua nguo zote unajiangalia kwenye kioo ni wapi pana shida?
Kuna watu wana maneno machafu sana huku duniani kama hujawahi kutoswa kwa dhihaka, dharau na kunyanyaswa tafuta wa kukupa hii dawa utapiga hatua kubwa ya kutatazama mahusiano kwa namna ya pekee sana.
Muda nnaotumia kukupiga sound ni muda wa kumtafutia Hela ya kumuhongaKwanza mtakuwa unapoteza muda kufanya shughuli za uzalishaji.
Ahaaaa mkuu unaweza jiuliza mimi sio mtuyan msichana anipe jibu lolotee lakini sio *ninamtu* daaa so pain
Alikuwa yupo kwenye hali Gani tangu mlivoachana hadi mlipoonana tenami wangu alibebwa mbele yangu tena na ma best wangu,kazama ndani ya escudo/vitara nikabaki natoa macho tu,nililia kwa vibration aisee,japokuwa tulikutana baada ya miaka kumi na zaidi nikabandua na nikasepa vile vile
Siwez kuishiwa pozi. Najua hakuna cha peke ako labda kaburi.Teh teh teh........mbn umeishiwa poziii.......![]()
ngoja nikae kmy maana huyu babu yng huyu namjua hakawii kunipa laana.....
Kutukanwa kwenye utongozaji, inategemea na saikolojia yako umeijengaje katika masuala hayo.
Kwa upande wangu, kutukanwa na kudhihakiwa, hunipa nguvu za ajabu kama za simba dume kuelekea mafanikio ya kumpata "mlengwa"
Kwangu mwanamke mtukanaji machachari na domokaya, humchukulia kama ni mwanamke mwenye mikwara isiyo na pingamizi lolote. Si mgumu kiviile, ambaye pia si "maharage ya mbeya".
Akinitukana, huyo kajiongezea alama muhimu za kuwa mpz wangu. Huyo ni lazima nimpate kwa gharama zozote, mbinu zozote uzijuazo ulimwenguni, ntazitumia hata kwa kufikishana mahakamani ilimradi tu nimnase.
Mwanamke anitukane kisa kumtongoza! Elewa huyo lazima kaenda na maji ninamaanisha "kaliwa".
Ninayasema haya kwa kujiamini sana.