Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Mimi nafuga kuku tu mkuu...mbuzi na ng'ombe nawaona kwa jirani tu.
Boss jaribu ufugaji wa
mbuzi na ng'ombe wa kienyeji
wana usumbufu na gharama
ila nyama yao ni zaidi ya kuku
 
Mimi style yangu yangu ya kutongoza siwezi kutoswa kwa aina yoyote. Ni kama unamuongoza kuku kwenye banda lake.....anaweza kufika karibu na banda asiingie mlangoni akakimbilia jalalani kupekua sasa hapo unaweza kumfuata umuongoze tena aingie bandani au umuache alale nje aliwe ns mapakashume.

Ukitumia style hii hayakukuti hayo.
Du ila kuku wako demu ndo unata awe wako.wengine sisi hatuna uvumilivu mtu akikutosa tu unajua hajakupenda.ila nimetoswa sana adi nkimtongoza demu nafanya kama nacheza gem nkitoswa nazima afu naanza tena
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nliumia demu ni jirani kila siku namkuta na watu waajabu kwakuwa nlimpenda nkawa naumia bas siku 1 nkakutana nae njiani tupo wawili tu nkamsimamisha akasimama nkamwomba hata namba tuwe tuna chat du jibu alilonipa,huwa nakuona kila siku kama ungekuwa na umuhimu kwangu ningeshakupa namba ila hauna umuhimu kwangu du nliondoka na aibu utafikiri dunia nzima imesikia lile jibu viroba vilikuwepo enzi hizo nkachukua kadhaa getto nkajifungia adi kesho yake ndo nkawa poa kutoswa inauma
 
Back
Top Bottom