Alikuwa yupo kwenye hali tangu mlivoachana hadi mlipoonana tena
Unawashauri wawe wana respond vipi ?Kumjibu mtu vibaya ni ushamba. Na kuona ukimjibu mtu matusi or what utaonekana expensive au mzuri. Ukijiamini huwez kumtukana mtu sababu ukishajijua we ni mwanamke na unavutia lazima utongozwe so huwez kuwatusi wanaovutiwa na wewe.
Wakati huo anaishi pamoja na baba mtoto wake aualikuwa keshakuwa mmama na alikuwa na binti mkubwa tu kama wa miaka 6 hivi....dah ila miaka hiyo nanyang'anywa tonge alikuwa bado mbichi kabisa
Nina boyfriend nampenda sana siwezi kuwa na wewe.Unawashauri wawe wana respond vipi ?
Ngumu kumesa hio, kuna wana watakomaa na wewe badoNina boyfriend nampenda sana siwezi kuwa na wewe.
Wakati huo anaishi pamoja na baba mtoto wake au
Daaah ,kweli we mnyamahakuwa katika ajenda yangu kufahamu hilo,mi nilifanya kila nilichokuwa nakitaka
Tatizo nikung'ang'anizi nishamwambia hatakiwi lkn haelewumemuachia kumbukumbu
mbaya sana...
Mi huwa nakuboclock ukinisumbja sana ili usinikwaze.Ngumu kumesa hio, kuna wana watakomaa na wewe bado
Daaah ,kweli we mnyama
hapanaa mkuu, sjakufikiakama wewe tu bro
hapanaa mkuu, sjakufikia
Kwa kweli umenena, ila moyo huwa unaniuma napofanya huo unyama.hakuana mwanamme asiyekuwa mnyama bro,we are all wanyamas
Yamewahi kukukuta ??