Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Hivi umeshawahi kutoswa wewe?

Nikiwa sekondari man............hatuna simu miaka ile basi nikajituma kuandika kibarua changu,manzi ya motoooo miksa ya kibondei na pemba hiv na anaonekana familia bora flani.mimi kauzu tu mganga njaa,wikiendi kabla sijaenda tiz ndo nikasebenze mtumbani nipate ela mbili tatu.
barua ilijibiwa kwanza kwenye toilet pepa,ina matusi mapya ambayo sikuwah yasikia kabla ya siku hiyo,afu ikiwa na signature za mademu kama saba hivi ambao tunafahamiana kabisa,nikaletewa class na yeye mwenyewe.
Nilipata aibuuuuu siwezi simulia.nikajikaza tu,mwaka uliofuata tuko umisseta,nikapiga game kali mno,jioni yake tunatoka kula nikammbato rafiki yake(alikua karibu ghafla baada ya ile tukio),yule manzi alihama shule.
mekutana nae Mlimani City last year kapururuka urembo wote *****,anasema 'unajua Rub we ndo ulipaswa baba yao kina Hajra(mwanae)'......tulkacheka tu.ila ni abu usipime!
Da umenikumbusha long time sana kuna dem alikua anajifanya superstar sana kwa sababu alikua kisu enzi izo nipo form two nimerud home likizo nikamtokea akanitolea nje nikakausha yeye skuli ikagoma mim nikaendelea tukaja kukutana mwaka Jana nimeshakua somebody akajilengesha kwa hasira nikamla kwa sku NNE mfurulizo afu nikamkimbia but iliniuma sana miaka ile aliponikataa maana nilikua namkubali sana
 
Back
Top Bottom