Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Mie naukubali uislam kwa kutuletea utamaduni wa kutawaza kwa kutumia maji, ile staili ya kizungu kutumia tishu sio!!.
Hata hivyo umeletq pia mengi ya hovyo ikiwemo kuendekeza elimu ahera na kuitupa elimu ya duniani na ndio maana jamii nyingi ya pwani kwenye uislam mwingi kuna umasikini zaidi tofauti na sehemu zenye uislam kidogo.
Mkuu Waarabu wao wanaishi ki kafiri zaidi kuliko Waislamu wa Tanzania, Waarabu wanapenda anasa na kwenda na Duniq inayoenda awapo Nyuma kama Waislamu wa Tanzania.
 
Mimi nimesema hivo sio kwa kudhani, ni kweli kabisa. We nenda kwenye websites za matokeo uone shule za zenji zinavyozalisha vilaza. Kila mwaka zinakuwaga za mwisho. Hiyo inatokana na kutokuzingatia mambo ya shule wao kila kukicha ni madrasa tu kufundishana upuuzi.
Ndiyo Maana Raisi kawazui Necta wasitangaze matokeo ili kuficha aibu ya kwao.
 
Hayo ni matokeo ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Nyerere,unazani ingekuwepo ile Zanzibar ya Sultani wa Zanzibar Tanganyika ingeona ndani leo hii,kweli wajinga wengi sana, Zanzibar ilikuwa zaidi ya Dubai watu walikuwa wanatoka sehemu mbalimbali ya Afrika kwenda kusoma Zanziba,historia inaweza kuhalibiwa na watu kwa makusudi na wajinga wakaja kutukana
Mkuu Zanzibar ingea hivi hivi, Zanzibar ingekua na Maendeleo kama Mwarabu asinge ingia Zanzibar, Visiwa vingi vilivyo tawaliwa na Waarabu vipo hovyo sana mfano Comoro, Tofauti na Cap verde
 
Ikulu yako ya magogoni ilikuwa madrasa!
Ustaarabu wa usafi wa mwili umeletwa na Uislam, huko kwenu ushenzini mpaka leo wanachambia majani!
Haki, ndoa, mahusiano uvaaji wa nguo umeletwa na Uislam.
Mapishi yote yote yameletwa na Uislam..

Hata kuzika watu ni matokeo ya Uislamu! Kabla ya hapo mlikuwa mnaacha mizoga ijiozee yenyewe..

Wahitaji zaidi?
Mwaarabu haja acha Majengo ya
Shule, Hospital, Reli, Barabara Tanganyika wala Zanzibar.
 
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Pia walileta mazao kama Nazi, karafuu na viungo vingine, pia utamaduni wa mavazi ya kiislamu na dawa za kujitibu kama vile dawa za kisuni, dawa au kinga dhidi ya uchawi
 
Mkuu Zanzibar ingea hivi hivi, Zanzibar ingekua na Maendeleo kama Mwarabu asinge ingia Zanzibar, Visiwa vingi vilivyo tawaliwa na Waarabu vipo hovyo sana mfano Comoro, Tofauti na Cap verde
Ikulu ya Dar es salaam ilikuwa malazi ya wanafunzi wa madrasa.Hujaona tu kama waliacha hazina kubwa Tanzania na afrika mashariki
 
Pia walileta mazao kama Nazi, karafuu na viungo vingine, pia utamaduni wa mavazi ya kiislamu na dawa za kujitibu kama vile dawa za kisuni, dawa au kinga dhidi ya uchawi
Hiyo dawa ya kinga dhidi ya uchawi ujinga mtupu. Hapo unaweza kusema walileta ujinga.

Kwingine huko nazi zilikuja zenyewe na mikondo ys bahari, ingawa waarabu nao walikuja nazo.
 
Hata hiyo ndege bila algebra na aligorithm,isingekuwepo.Kuanzia
1.Computer Science
2.Engineering
3.Economics
4 Nk
Vyote vinategemea ugunduzi wa Mwamba huyu Mohammed Musa Al khawarithim.
Na dunia nzima,wanasoma Algebra(kitabu chake alkiita Al jabri),na lazima pia usome Algorithim.
Ukitumia chochote kilichotengenezwa,kinatokana na Algebra,algorithim,ni Mwamba huyu,Muislam Mohammed Musa Al khawarithim.Huyu pia ndio aliyegundua namba 1 2 3 4 5 6 7 8 9,na ndio kokote duniani zinaitwa arabic numbers,japo waarabu pia wana namba zao nyingine na wana alphabet yao,ambazo ndio alphabet za kiislamu,wanazofundishwa madrasa(school au sule kwa kijerumani).
Hapa tukitumia Ingormation technology,bila ugunduzi wake,tusingrkuwa na jf wala whatsapp wala facebook wala online business wala simu.
Hii itakuumiza moyo,kuona muislamu ndio amegundua Algebra(jina la kitabu chake al jabri,kwa kilatini wameandika algebra) na algorithim(jina lake la ukoo Al khawarithim,imeandikwa kwa kilatini)
Huu ni uongo. Algebra ime evolve kwa muda mrefu na haikuanza na Wapersia au al Kwarezmi kama unavyodai. Evolution ya algenra imeanza na wababylon, persians, greeks na Indians

Unaweza kusoma hapa ilinuelewe uache kulisha wenzako kasa

 
Hindu walianza. Nyie mkacopy. Kipi hauelewi. Muwe mnasoma na kuelewa
Sisi tukacopy kwani mimi ni muarabu?
Pia ujue kuwa waarabu waliziboresha na kuzieneza duniani zaidi na zinatambulika sana kama arabic numerals hivyo nyinyi wahindi kuomboleza kwenu na kusaga meno hakuwasaidii 🤣🤣🤣
 
Uislamu Upo Karibia Miaka 1000 Pwani yetu na sehemu nyinginezo, hivi kipi haswa kimeletwa na uislamu kwa maana ya civilization na maendeleo ya jamii?

Hata tu mazao labda kuna zao gani ambalo lililetwa na uiaslamu hapa kwetu?
UISLAM ilileta TENDE na KHALUA!!
 
Ikulu ya Dar es salaam ilikuwa malazi ya wanafunzi wa madrasa.Hujaona tu kama waliacha hazina kubwa Tanzania na afrika mashariki
Mkuu hii Ikulu ya Magogoni si Waliijenga Waingereza?
 
Back
Top Bottom