Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

kabla ya Muhamad karne ya 7 (baada ya Kristo) kulikuwa hakuna muislamu hata mmoja, labda kama waliitwa jina lingine lkn siyo waislamu, uislamu ulianzishwa na Muhamad miaka 600 baada ya Yesu …
Kuongea na huyo nikama kuchoka maji ndani ya bahari kutia kwenye chupa ukitegemea ikauke, Ibrahim hata kutairi MUNGU alimwambia afanye hivyo Kwa nyumba yake yote na ndipo alipomwambia aitwe Ibrahim
 
Yaani wana vichwa vigumu kama mawe yakusagia sijui kwanini wanapenda kujipendekeza wakati bible imeandika Ibrahim - YESU KRISTO vizazi 42, huo Uislam ulikuwa wapi! Nikuwaacha nakuwasamehe, tuwaombee tu siku moja mafunuliwe
Kama Waislamu wanajipendekeza basi na wakristo pia watakuwa wanajipendekeza
 
Hivi ulishawahi ona Wakristo wanahangaika korani ? Muda wautoe wapi sasa ikiwa kwenye bible hakuna Neno korani Wala Mudi !

Embu twambie yule anayeibukaga mlienda kurusha mawe huwa ni nani mpaka mnakanyagana na kuuana kama kumbikumbi?
 
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Kaka sasa mbona unatuchanganya mbona huyoo mtume wa waislamu alikuwa hajuii kusoma wala kuandka
 
Bibilia hain

haina sehem itamtaja mudi hata mojaa
 
Kaka sasa mbona unatuchanganya mbona huyoo mtume wa waislamu alikuwa hajuii kusoma wala kuandka
Na wafuasi wake hawawezi kuwa na kipaumbele Cha elimu maana mzizi wake ndivyo ilivyo 😂
 
Kwa
Mimi ni atheist mtu nisiyeamini katika dini wala Mungu.

Na kwa sababu hii, labda ninaweza kuwa mtu mzuri sana wa kujibu swali hili bila kasumba ya kutetea dini.

Uislamu umeleta mengi mazuri na mabaya, lakini moja kubwa zuri Uislamu umeleta utamaduni wa kusoma na kuandika.

Kuna watu wengi wa Afrika Mashariki walijua kusoma na kuandika kwa kupitia Uislamu. Watu walifikia muda mpaka kuandika Kiswahili kwa maandishi ya Kiarabu.

Hivyo, kujibu swali lako, Uislamu ulileta utamaduni wa kusoma na kuandika huku kwetu ambako hatukuwa na utamaduni wa maandishi.
Iyoo watu wa kwanza kuandika ni Waislamu
 
Ndi
Na wafuasi wake hawawezi kuwa na kipaumbele Cha elimu maana mzizi wake ndivyo ilivyo 😂
Ndio nashindwaaa kwa mujibu wa hiyoo quruan mtume alikuwa mbumbumbuu hajuii kusoma wala kuandika
 
Hivi ulishawahi ona Wakristo wanahangaika korani ? Muda wautoe wapi sasa ikiwa kwenye bible hakuna Neno korani Wala Mudi !

Embu twambie yule anayeibukaga mlienda kurusha mawe huwa ni nani mpaka mnakanyagana na kuuana kama kumbikumbi?
Sasa kama hamhangaiki na sisi kwa nini kila muda mnafungua nyuzi za kutuponda? Kama sio tunawakosesha raha nini!
Unasema tunajipendekeza kwa manabii waliopita nyinyi hamjipendekezi?
 
Back
Top Bottom