MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,738
- 48,606
Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira.
Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na pia mwanaume hupata maumivu kiaina.
Sasa kwa hawa ambao kila wakitolewa ubikira utakua unawarudia mbona kama itakua shida kwa hao wanaume.
Kwanini dini ing'ang'anie ngono kihivi, maana kawaida hili tendo huwa tu kwa ajili ye kuwezesha viumbe vizaliane, na ndio maana huwa inabidi pawe na kale kautamu ambako huhamasisha viumbe tufanye tendo, la sivyo hatungekua tunazaliana, ila sasa baada ya kufa, hilo tendo halina umuhimu tena maana ni utamu tu wa kimwili na kwa vile mwili wako umezikwa, hauna umuhimu wa hicho kitu.
Mambo kama haya husababisha mapagani wachekelee na kuona kama ujuha uliokubuhu....